Maombi ya kuombea chupi za waume zenu

Maombi ya kuombea chupi za waume zenu

Mlioko kwenye ndoa hii sala inawafaa. Sala ya kuombea chupi ya mume baada ya kuifua

"Naiombea chupi ya mume wangu, naitakasa kwa damu yako Yesu, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu. Kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu iwe ni kwa ajili ya haja ndogo, kubwa na matibabu tu.Naikabidhi ikiwa safi. Kama ataivua kinyume na ninavyosema hapa baba basi dudu yake ipigwe upofu isilione tundu inayotafuta .....SEMA AMEN"


Nawasilisha

Na sie wavaa Rubega itakuaje sabab kikwetu wanaume hawavai chupi coz inaharibu dudu yetu
 
Na sie wavaa Rubega itakuaje sabab kikwetu wanaume hawavai chupi coz inaharibu dudu yetu

Wavaa rubega wa siku hizi wametrasform, wanatinga kyupi these days. Anyway waweza ombea rubega. Najua wanaume mtatoa sababu kukwepa lakini mjue wake zenu wanaomba.
 
Kuna baadhi ya matani si vyema yakafanywa na Mkristo. Heri yake ambaye hajui jina la Yesu lina maana gani kwa ulimwengu.

Sidhani kama nia kweli ni kuomba ustawi wa ndoa na uaminifu basi utaiombea chupi. Yesu hakuwa shabiki wa uzinzi na mambo ya kidunia mpaka ukamtumie kwenye hii mifano yenu ya kishenzi.

Next time kabla hujapost jambo la masihara namna hii ni bora ukatafakari.
 
Wavaa rubega wa siku hizi wametrasform, wanatinga kyupi these days. Anyway waweza ombea rubega. Najua wanaume mtatoa sababu kukwepa lakini mjue wake zenu wanaomba.

Ziombee heri siku za maisha yako, kufuru zisiziharibu. Damu ya Yesu itakasayo mioyo dhaifu na itufanye wapya badala ya kutakasa chupi. Nalaani matani ya namna hii, na nakushauri uache ikiwa bado unapenda kuendelea na mzaha huu wa kidunia.
 
Kuna baadhi ya matani si vyema yakafanywa na Mkristo. Heri yake ambaye hajui jina la Yesu lina maana gani kwa ulimwengu.

Sidhani kama nia kweli ni kuomba ustawi wa ndoa na uaminifu basi utaiombea chupi. Yesu hakuwa shabiki wa uzinzi na mambo ya kidunia mpaka ukamtumie kwenye hii mifano yenu ya kishenzi.

Next time kabla hujapost jambo la masihara namna hii ni bora ukatafakari.

Mwana mtoka pabaya could you kindly give me definition ya matani. Utani hapa kwenye hii post uko wapi? Why limit mtu asiombe ilihali maandiko yanasema ombeni nanyi mtapewa? Kwani wewe huoni watu wanatoka nje ya ndoa zao sana? This is not masihara. Perception varies kama kwako ni masihara basi kwangu sio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom