Maombi ya kuombea chupi za waume zenu

Truly

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
228
32
Mlioko kwenye ndoa hii sala inawafaa. Sala ya kuombea chupi ya mume baada ya kuifua

"Naiombea chupi ya mume wangu, naitakasa kwa damu yako Yesu, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu. Kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu iwe ni kwa ajili ya haja ndogo, kubwa na matibabu tu.Naikabidhi ikiwa safi. Kama ataivua kinyume na ninavyosema hapa baba basi dudu yake ipigwe upofu isilione tundu inayotafuta .....SEMA AMEN"

Nawasilisha
 
This prayer is so disgusting and it just potray how in our desparation(sp) some of us are moved to go into this frenzy

Can't we just pray to the person , why should I pray for chupi? What if he decides to go out in his boxers or just without any !

Next I will hear a prayer for the sacred manhood

Ah modernization and its doctrines...
 
Asante kwa kutukumbusha,lkn si chupi tu bali nguo zote hadi viatu vinatakiwa kuombewa na kutakaswa na damu ya Yesu.
 
double like

This prayer is so disgusting and it just potray how in our desparation(sp) some of us are moved to go into this frenzy

Can't we just pray to the person , why should I pray for chupi? What if he decides to go out in his boxers or just without any !

Next I will hear a prayer for the sacred manhood

Ah modernization and its doctrines...
 
Yote haya SABABU ya ubinafsi tu...Mbona husemi na ya MKE iombewe..au HAWAVAI siku hizi??
Man's lust is inconquerable!..get it from me!
 
Mlioko kwenye ndoa hii sala inawafaa. Sala ya kuombea chupi ya mume baada ya kuifua

"Naiombea chupi ya mume wangu, naitakasa kwa damu yako Yesu, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu. Kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu iwe ni kwa ajili ya haja ndogo, kubwa na matibabu tu.Naikabidhi ikiwa safi. Kama ataivua kinyume na ninavyosema hapa baba basi dudu yake ipigwe upofu isilione tundu inayotafuta .....SEMA AMEN"

Nawasilisha

ONGEZEA KWAMBA
IKIWA ITAVULIWA KWENYE UZINZI
BASI DUDU YAKE IGANDE,,,!!
:amen::smile:
 
kabla ya kuwaombea wengine, ni heri mkaanza kujiombea nyie wenyewe, familia haziendeshwi kwa maombi ya kukamiana hivi, sasa isipoona hio tundu ulifikiri ndio itakuwa mwisho? No no atarudi siku nyingine ataenda hajavaa pichu yake, hata hivyo kuva pichuj ni tamaa na anasa tu, huwa binafsi navaa kwa kulazimishwa sana na my wife wangu, nivae ya nini bhana, niopeni kazi za pichu kaam sio kuongeza joto na fangasi tu
 
ustadh unapenda kuwa spesheli, chini makobazi unayaacha nje, juu umepiga gauni mnaita kanzu hiyo haina mkanda wala zipu, unaipandisha mgongoni unapiga mashine fasta
 
Jina ulilolitaja katk maombi haya halikustahili lifanyiwe mzaha huu. Jitafakari!!
 
ustadh unapenda kuwa spesheli, chini makobazi unayaacha nje, juu umepiga gauni mnaita kanzu hiyo haina mkanda wala zipu, unaipandisha mgongoni unapiga mashine fasta

Hahaaaaaa mbavu zangu mie. Ama kweli hiyo mashine inapendwa. Imemuangusha mpaka four star general!!
 
mleta maada jihadhari sana na jina la Yesu kwenye utani unaweza pata laana ambayo hukuitegemea kama kweli una maanisha kutoka moyooni basi ni nzuri lakini kama umeleta kama maingizo au vichekesho basi uwe makini sana
 
Mlioko kwenye ndoa hii sala inawafaa. Sala ya kuombea chupi ya mume baada ya kuifua

"Naiombea chupi ya mume wangu, naitakasa kwa damu yako Yesu, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu. Kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu iwe ni kwa ajili ya haja ndogo, kubwa na matibabu tu.Naikabidhi ikiwa safi. Kama ataivua kinyume na ninavyosema hapa baba basi dudu yake ipigwe upofu isilione tundu inayotafuta .....SEMA AMEN"

Nawasilisha
Acheni mizaha na jina lipitalo majina yote mbinguni na duniani! Mtakatifu wa mbinguni awasamehe.

mleta maada jihadhari sana na jina la Yesu kwenye utani unaweza pata laana ambayo hukuitegemea kama kweli una maanisha kutoka moyooni basi ni nzuri lakini kama umeleta kama maingizo au vichekesho basi uwe makini sana
mkuu Mwanaweja Mbona unamtisha wewe muombaji ?Hakulifanyia maingizo wala vichekesho ameomba Dua ili akubaliwe maombi yake wewe unavyofikiri kuna maingizo na vichekesho kwenye maombi ya dua hakuna mzaha.
 
mleta maada jihadhari sana na jina la Yesu kwenye utani unaweza pata laana ambayo hukuitegemea kama kweli una maanisha kutoka moyooni basi ni nzuri lakini kama umeleta kama maingizo au vichekesho basi uwe makini sana

hakuna vichekesho hapa, I meant it. Watakaopenda kuchukua ushauri huo utawafaa.
 
Back
Top Bottom