Manyanyaso kwenye ndoa

Manyanyaso kwenye ndoa

Yaan mambo ya ndoa huwa sio ya kukurupuka kushauri juujuu tu.
Mpaka pande mbili zikalishwe

Kuna jambo mdada alilianza yeye
Sure mkuu,kabla ya kutoa ushauri au kutafuta solution ni vizuri zaid kujua root cause ya tatizo,huwezi kutoa ushauri au hukumu kwa just the surface level of symptom,kumaliza tatizo ni kuuondoa mzizi wa tatizo ili tatizo lisijirudie tena.
 
Wakuu kuna Binti ndoa yake Ina changamoto sana ye na mumewe....mumewe anamnyanyasa mno,kwa kushirikiana na mama mkwe,yaan mama mkwe katoka mkoani hadi mjini anapoishi mwanae wa kiume,ili tu aje kupambana na mke mwana ili aondoke!

Picha linaanza jamaa amuachii hela ya kula mkewe,watoto anawapa hela wakale kwa mama lishe, mama mkwe anamuambia mwanae kuwa Kijijinj tayari washamtafutia mke mwingine amtimue huyu wa sasa, na wamezaa watoto wawili! Na Wana nyumba!

Kesi yao ishafika serikali za mtaa lakini anasema wanamzingua tu, ni hatua gani anaweza kufuata huyu binti apate haki yake,. Alitegemea ujio wa mama mkwe utaleta suluhu ya mgogolo wao,lakini imekuwa ni kinyume chake!
Nini afanye! Hatua gani afuate labda?
Si aondoke tu,
 
Wewe ni nani yake ?
 
Gentleman,
ni muhimu sana,
huyo dada awe mstahimilivu na mwenye subra, lakini pia kamwe asiwe mnyonge dhidi ya kupambania mali na kuipambania familia yake famili na ndoa yake, dhidi ya maadui hao very useless wa maisha yake ya ndoa.

Ni muhimu kuchukua hatua zote muafaka ikiwa ni pamoja na za kijamii, kidini na kisheria, na kuhakikisha hakuna anaeweza kuyumbisha au kuisambaratisha ndoa au watoto wake kizembezembe hivyo.

Mwanamke mjinga pekee ndio anaeweza kuivunja familia yake kwa mikono yake mwenyewe, but mwananmke muerevu hawezi kufanya hiyo nonsense, wala kubabaishwa na wenye nia ovu kama ambavyo umejaribu kueleza kwenye hoja ya msingi bali ni kupambana nao perpendicularly kuiprotect ndoa na familia yake :NoGodNo:
 
Wanaume wenzangu tukumbushane, ni kosa kutoacha hela ya matumizi kwa mkeo ukishaoa

Unless mke na wewe mume mmekubaliana namna ya kuchangia huduma za hapo nyumbani, kwa wanandoa ambao wote ni watumishi/biashara

Hata kama umefikia hatua mmoja analala chini, mwingine kitandani/mzungu wa nne, ni lazima uhakikishe mkeo amekula kwa kumpatia hela ya matumizi

Hili linafanyika wakati taratibu za talaka zikiendelea mahakamani

Kama Hali imefikia hiyo, mshauri huyo bibie aende akashtaki ustawi ama kazini kwa mumewe, ili alazimishwe kisheria kuhudumia mkewe

NB; Mapenzi yakiisha, tafadhali tuachane salama, hakuna haja ya kumfanyia mwenza wako visa vitavyopelekea apate changamoto za kiafya
 
Walifunga ndoa? Aende mahakamani kuomba talaka awe huru na wagawane mali. Kama aliolewa kwa kusogezwa asepe tu kwa amani. Huyo msela wake asidhani mke mwingine ajaye atakuwa na nafuu, ndio kwanza mtanange utaanza na atatamani wa mwanzo arudi
 
Wanawake wanaonyanyasika ndoani ni wale tegemezi wasi na mbele wala nyuma. Mwanamke mwenye kazi yake huwezi kumnyanyasa, anakutoa rinda
 
Pole sana mkuu, Afike dawati la jinsia, aanzie hapo.
 
Km kweli ni mke wa ndoa na wana watoto, anaweza kuomba talaka ila mwanaume atalazimika kumwachia nyumba, akapange na analazimika kuwapatia mahitaji yote muhimu hai watoto. Kinachoangaliwa ni watoto
 
Back
Top Bottom