Manyanyaso kwenye ndoa

Manyanyaso kwenye ndoa

Mtu wa kulishwa na kuvishwa ana mchango gani kwenye ujenzi?
Vyakula kwani wanawake Huwa tunawaletea vikiwa vimepikwa kabisa? Huwa mchango wake mdogo wakutupikia tukashiba na kwenda kutafuta pesa,unahesabika kisheria na ana share yake kwenye mali mlizochuma,japo sio 50% ila wanapata 30% mkuu......
 
Back
Top Bottom