The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
We mshikaji wangu wewe sometimes duh! yaani uko serious kabisa
Kwani yeye haruhusiwi kwenda appolo?
Go Manumba go!
Mwangosi will be happy to acclaim and receive you thither. Go Manumba
and leave everything behind. Go and become a lesson that every soul will
one day die. Kul nafsi dhalikatul mauti.
Kwani yeye haruhusiwi kwenda appolo?
vip hospitali yao ya LUGALO,naona siku hizi wameipa kisogo kabisaKwani yeye haruhusiwi kwenda appolo?
vip hospitali yao ya LUGALO,naona siku hizi wameipa kisogo kabisa
Why not kama wao wanaua watu kama wadudu? Let them die may be other goons will learn a lesson. I will be happy to hear that this boss of killers is dead.
HALI ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Robert Manumba bado ni tete na jana Rais Jakaya Kikwete alikwenda tena ikiwa ni mara ya pili mfululizo katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam alikolazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), kumjulia hali.
source: gazeti la mwananchi
Polen ndg jamaa na marafik, kama Jk alirud kwa mara ya pil ndan ya muda mfup, bas inawezakan hal yake imeendelea kuwa mbaya
Tiba chunguz iendelee, mana ofis yake ina maadui wengi hasa hasa ambao hawakutendewa haki, kwahiyo kuna uwezekano yasiwe maradh ya kawaida.!!
Wewe hujui dini na huna unalosema hapa. Muhammad alisema nini kuhusiana na wanaopinga dini yake na jinsi ya kuwachinja bila huruma. Hapa ndipo unaona kuwa hakuna dini isiyomwombea marehemu kwenda motoni? Kwani ni dini gani nimetukanishe kama tutaacha ushabiki wa kijuha na kutojua hata hiyo dini? Au ni kwa vile nimetumia maneno ya kiarabu ambayo kwako ni uislam? Shame on you rudi madrassat ukasome kama siyo kukariri mwanangu Jaim.Samahani baba yenu huwa natumia lugha za kuudhi ili mchukie mwende shule muongee vitu vinavyoeleweka kama mimi baba yenu.
Wako Sayyidina Father of All Radhiallahu Annuhu.
Kwani yeye haruhusiwi kwenda appolo?
kwani wewe una shule gani mwezetu.je dhamira haikusuti kumwombea mtu tena your fellow christian mauti.kwasababu tu anafanyia kazi kwenye serikali ya ccm.
Huh..wonder shall never end...yaani umeendekeza uchadema na siasa hadi utu umekutoka umekuwa na roho mbaya na ya kikatili hadi unafikia kuombea wagonjwa wafe.
Kha...!I feel sorry and ashamed to share the same planet with people like you.
Elungata acha uongo na vitisho vya kitoto. Umejuaje kuwa mimi ni christian? Kwa taarifa yako mie siyo dini yoyote ya kimamboleo. Simuombei kifo kwa vile anafanya kazi CCM au wapi. Nisemacho ni kwamba polisi wanaoua watu kama wadudu wakifa sawa tu. Mabosi wao na serikali inayohalalisha ukatili huu wakifa poa. Kama wewe ni mmojawapo uliye tu. Unaulizia elimu yangu ili ikusaidie nini? Kama ni kusoma nimesoma tu ndani ya Bongo na ng'ambo so what?