gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 412
Mkuu, kifo hakina formula.Mtamuombea mwenzio afe ukaishia kutangulia wewe.
Malipo duniani, na watamwacha Ulimboka anadunda
Pona mapema kamandA
Sala za shehe ponda hizi,? Si kamnyima zamana,.
Sawasawa na 2Wamakabayo:7 na 9. Msome Manumba wa kipindi hicho.inafaa augue ugue kwa muda ili akumbuke kuwa Mungu yupo na yeye ndiye mtoa hukumu,ajue kuwa walivyomhukumu ulimboka ilikuwa makosa.....namuombea apone ila baada ya miezi 2
Malaria gani hiyo ya kumlaza mtu ICU?
Upone haraka kamanda ili uungane na familia yako.