Manumba alazwa ICU Aga Khan

Manumba alazwa ICU Aga Khan

Mkuu, kifo hakina formula.Mtamuombea mwenzio afe ukaishia kutangulia wewe.

true neptune ombea adui yako asife mpaka ajionee kwa macho mafanikio yako get wel xoon kamanda ila baba ritz apangue hii safu dpp , dci , ag woote kanda ya ziwa hii inafanya watu kama chenge wanapeta kwa kigezo cha upot
 
Malipo duniani, na watamwacha Ulimboka anadunda

Kisasi ni cha MUNGU,msimhukumu ilanafsi yake inamsuta kama alishiri si tu kumtesa ULIMBOKA bali hata kufumbia macho watu waliomtesa,tumombee apone ila tuendelee kumuachia MUNGU wale wote waliomwaga damu za watz wengi,baadhi ni Mwangosi,wafanyabihashara wa madini,waandamanaji (zanzbar,arusha,morogoro nk)
 
aende muhimbili bana!halafu malaria kwa mtu mzima ICU nina doubt!watuambie ukweli tu kuliko kusema uongo wa kitoto.

namtakia maisha marefu ili aweze kuendelea kutekeleza majukumu yake
 
Pona mapema kamandA

inafaa augue ugue kwa muda ili akumbuke kuwa Mungu yupo na yeye ndiye mtoa hukumu,ajue kuwa walivyomhukumu ulimboka ilikuwa makosa.....namuombea apone ila baada ya miezi 2
 
hiyo ni test tu ya jinsi gan uli alivyoteseka. Mungu akupe nafuu.
 
Ni malaria kweli au mambo yetu yale?
Kwanini wasimpeleke haraka India?
Ila niliwahi kusikia India hawapokei wateja wa madabida.

*Watanzania wanyonge tunaochukia vitendo vyake vya kulinda mafisadi na wauaji tunamtakia DCI Manumba afya njema na maisha marefu.
 
Duu?? mi namuombea apone ili aje asome michango yetu ktk mada hii, naamini itamuongoa aanze kutenda haki kwa wote.
 
inafaa augue ugue kwa muda ili akumbuke kuwa Mungu yupo na yeye ndiye mtoa hukumu,ajue kuwa walivyomhukumu ulimboka ilikuwa makosa.....namuombea apone ila baada ya miezi 2
Sawasawa na 2Wamakabayo:7 na 9. Msome Manumba wa kipindi hicho.
 
Mnaposema sheria inawalinda viongozi hawa,Mie nilijua inalinda mpk magonjwa yao bana kumbe sio? Bs upona haraka pot
 
Mie nilidhani amekufa kumbe bado yuko hai! Ni bahati mbaya sana kuwa bado yuko hai. Wenye uchungu na maisha ya watu wasio na hatia tulifurahi kusikia kifo chake. Tulifurahi si kwa sababu ya kupenda misiba bali kuona haki inatendeka kwa wahanga wote waliouawa ana jeshi la polisi. Hata hivyo tunamuomba Mwenyezi Mungu atende haki kuhakikisha damu ya watu wasio na hatia haimwagiki bure.
 
Aliowafukia kule Bulyiyanhulu wakiwa hai aombe radhi hadharani kabla hajafa , maana atakuta Mungu kaenda shambani siku hiyo ikifika....
 
Back
Top Bottom