gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 411
Hapa enzi hizo akiwapanga wana habari.
get wel xoon kamanda bt mhemiwa baba liz arekebishe hii dpp, dci, ag kanda ya ziwa there iz no ratio
Hapa enzi hizo akiwapanga wana habari.
Breaking News: Manumba alazwa ICU Aga Khan
HALI ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai, DCI Robert Manumba ni mbaya na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, kwenye wodi ya wgonjwa Mahututi (ICU) jijini Dar es Salaam akisumbuliwa na ugonjwa wa malaria.
Kwa mujibu wa taarifa zilizonaswa na Habarimpya.com hivi punde ni kwamba Manumba amelazwa katika Hospitali hiyo tangu juzi.
Hata hivyo vyanzo vya kuaminika ndani ya Jeshi la Polisi nchini zinadai kwamba hali ya Mkurugenzi huyo wa makosa ya jinai nchini ni mbaya.......
Inadhirisha ni jinsi gani ulivyo na upungufu wa kimawazo; unaweza kufa wewe mzima ukamuacha Manumba; wapo viongozi wengi ndani ya jeshi la polisi wana uwezo kuishika nafasi hiyo bila wasiwasi wowote; kwa hiyo dua lako ni kupoteza muda.
Chama
Gongo la mboto DSM
Too low!
ukiachilia mbali kutowajibika kwake, una ugomvi wowote na huyu ndugu hadi umuombee kifo? Unajua siku ya kufa kwako?

Malaria gani hiyo ya kumlaza mtu ICU?
Upone haraka kamanda ili uungane na familia yako.
Breaking News: Manumba alazwa ICU Aga Khan
HALI ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai, DCI Robert Manumba ni mbaya na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, kwenye wodi ya wgonjwa Mahututi (ICU) jijini Dar es Salaam akisumbuliwa na ugonjwa wa malaria.
Kwa mujibu wa taarifa zilizonaswa na Habarimpya.com hivi punde ni kwamba Manumba amelazwa katika Hospitali hiyo tangu juzi.
Hata hivyo vyanzo vya kuaminika ndani ya Jeshi la Polisi nchini zinadai kwamba hali ya Mkurugenzi huyo wa makosa ya jinai nchini ni mbaya.......
]
Adui yako muombee aishi muda mrefu ili ashuhudie unavyofanikiwa...
mkuu nimeipenda hii na naichukua
Istoshe ameifanya kuwa siri ya serikali riport ya uchunguzi wa sakata la DR ULIMBOKA na la DAUDI MWANGOSI.
hakuna uchunguzi uliogfanyika ilikuwa danganya toto upepo upite!
Malipo ni hapa hapa...Istoshe ameifanya kuwa siri ya serikali riport ya uchunguzi wa sakata la DR ULIMBOKA na la DAUDI MWANGOSI.
Too low!
ukiachilia mbali kutowajibika kwake, una ugomvi wowote na huyu ndugu hadi umuombee kifo? Unajua siku ya kufa kwako?
Duh,unamuombe mwenzako afe? Wewe sio binadamu. Amekukosea nini mpaka useme hivyo?
kibanga Ampiga Mkoloni, Wewe ndio una roho ya kinyama kabisa! ni sidhani kama una imani yoyote Juu ya Mungu! kwani uliambiwa kufa ni adhabu? jipange upya!
umeanza vizuri unamaliza vibaya.....!!!mwanadamu ni mwanadamu,hata akiwa mbaya vipi hawezi kuwa shetani hata akiwa mzuri vip hawez kuwa malaika....
Mkuu, kifo hakina formula.Mtamuombea mwenzio afe ukaishia kutangulia wewe.
Huyu kamuweka ndani SHEIK wetu mpaka leo ansota sasa ngoja cha moto akione na leo tunaenda kuongeza UBANI.
Kama wewe unauchungu saan JINYONGE au MFUATE.
hakuna uchunguzi uliogfanyika ilikuwa danganya toto upepo upite!
Malipo ni hapa hapa...