lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,607
- 2,064
anaponzwa na ushabiki wakati hata hao viongozi anaowashabikia hawawezi kufurahia binadamu mwenzao kuteseka kwa maradhi. Mungu wetu ni mwenye upendo. huwezi kusema unampenda MUNGU usiyemuona huku unamchukia jirani yako.huyo anatumia imani ya cuf ya jino kwa jino sijui kama cuf nayo ishakuwa dini?
kwahiyo kuombea watu kifo ndio CRITICAL THINKING HIYO?.
Kumbe mindset yako imebase kwa ulimboka.hata kama,alifanyiziwa na serikali basicaly hizo sio issue za CRIMINAL INVESTIGATION,hapo ungesema watu wa intellgence.
Tatiza una generalise,askari polis koplo akimtwanga mtu risasi,serikal yote unaiita wauaji.
Anyway sina sababu ya kumpenda huyo manumba after all jembe langu ponda bado yuko ndani.LAKINI SIWEZI KUMWOMBEA AFE TENA MBELE YA KANDAMNASI
Kama wameapa kwa miungu hamna shida ila Mungu ni mmoja tu na kila jambo uliruhusu litokee kadri ya mapenzi yake.tunaapa kwa miungu yetu , tunaomba kwa nguvu zetu zote miungu yetu itusikie ili mtu huyu afikwe na mauti, lkn je? nasisi tu wasafi mpaka leo hii kufikia kutoa maombi hayo yaliyokosa utu. haya na aliye msafi awe wa kwanza kum,,,,,,,,,,,,,,,
may i beg to differ Father of All cuz imeandikwa "wapendeni adui zenu watendeeni mema wale wanaowaudhi"
kwani process za homecide investgation zinasemaje kwa kesi kama ya mwangosi,huyo alipigwa bomu la machozi mbele ya kandamnasi unahitaji uchunguzi gani tena wakati mambo yametokea mchana kweupe mbele ya watu na muuaji yuko ndani?hiyo ni open and shut case........
he huyu ni DPP?Akitaka kupona,aachie rufaa ya shekh ponda, chezea dua wewe...
Deemn! I like your swaga faz ov ol! Husazi jiwe juu ya jingine! Hakuna kumung'unya maneno, its better kusema kiujazacho moyo usije ukawehuka eti unaogopa usionekane huna utu! Pyaaa! God knws how much people want hm dead! Yeah dead! Die manumba die as kila nafsi itaonja mauti ila ni pozi na style tu zinatofautiana!
Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Inspekta Jenerali wa Polisi katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumlaki Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna Robert Manumba aliyelazwa hospitalini hapo.HALI ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Robert Manumba bado ni tete na jana Rais Jakaya Kikwete alikwenda tena ikiwa ni mara ya pili mfululizo katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam alikolazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), kumjulia hali.
Source: Gazeti la Mwananchi
Hii ni kweli kichwa chini? mbona naona ni watu wenye furaha tu hawana huzuni yeyote, mwingine anacheka na mwingine kaweka mikono mfukoni.