Go Manumba go! Mwangosi will be happy to acclaim and receive you thither. Go Manumba and leave everything behind. Go and become a lesson that every soul will one day die. Kul nafsi dhalikatul mauti.
Why not kama wao wanaua watu kama wadudu? Let them die may be other goons will learn a lesson. I will be happy to hear that this boss of killers is dead. Mie nawakilisha watu kama Mwangosi. Sina jema na hawa polisi hata wakifa wakubwa zao wote I don't care. Sina huruma hata na serikali hata wafe wakubwa zake wote it won't move me. Wakipungua tunapata ahueni. Nadhani watu wengi wanaogopa kuonyesha hisia zao ima tokana na woga au unafiki.

Rais naye ni Daktari hivyo anakwenda mara kwa mara kushauriana na madaktari wenzake namna ya kumsaidia/kumwokoa mgonjwa! Kuna ubaya gani?Naamini kwenye Job Description ya Raisi, hakuna kipengele cha kila siku kuacha kazi na kutembelea mgojwa. Inawezekana kiubinadamu ukafanya hivyo, lakini lisiwe ndio moja ya majukumu ya raisi. Vinginevyo kumbe uraisi ni kazi rahisi kiasi hicho!!!!!????
Mimi ni mgeni sana lakini bwana Elungata Manumba nisawa na Dr. Ulimboka pamoja na Mwangosi aliyeuawa na watu waliochini yake na yeye hakutaka hata kufanya uchunguzi kama alivyofanya kwa kamanda Barlow. Ukiona mtu anapiga kelele ujue kisu kimefika kwenye mfupa. Kumbuka mkiki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu kaka.

Kwa vigezo gani wale waliomuua Kombe waliachiwa huru?ditopile alimtwanga mtu risasi hadharani polisi wakadai kuwa ilikuwa bahati mbaya kesi ikawa closed,muuza magazeti wa moro polisi wakadai ni unknown flying object imeruka yenyewe kutoka katikati ya watu na kumuua,ya Mwangosi bado ni mbegu,in short polisi kwa msaada wa ccm wanafanikisha mauaji ya raia wengi wasio na hatia,manumba ni mmoja wao,siwezi kuwa mnafiki kumwombea kheri mtu katili,kwani baada ya kupona na kutoka hospital yaweza kuwa zamu yangu kutwangwa risasai na vijana wake au hata yeye mwenyewekwani process za homecide investgation zinasemaje kwa kesi kama ya mwangosi,huyo alipigwa bomu la machozi mbele ya kandamnasi unahitaji uchunguzi gani tena wakati mambo yametokea mchana kweupe mbele ya watu na muuaji yuko ndani?hiyo ni open and shut case.
Ulimboka,huyu jamaa na mgomo wake umesababisha watu wengi kufa .hao watu wana jamaa zao hata kwahiyo alikua ameshakua target ya revenge.hata mimi ndugu yangu angepoteza life kwenye mgomo huo lazima ningekula platemoja na kinara wa mgomo.vilevile hapo kesi ipo mahakamani
ukiua kwa upanga,utauwawa kwa upanga!......
Na mwona mtu na shemeji yake sisi wafipa watu waliooa sehemu moja tunawaita vitwazi ndo hao sasa na vicheko, bashasha na matabasamu......cheza wewe naDORAHA......Pole wewe gamba kubwa japo hatima yako iko kwa muumba sio sisi tunaoteseka kwa madudu yenu ya kuchelewesha mafaili ya mafisadi.....sasa ukipona tu ndio kazi unayopaswa kuanza nayo... Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Inspekta Jenerali wa Polisi katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumlaki Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna Robert Manumba aliyelazwa hospitalini hapo.HALI ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Robert Manumba bado ni tete na jana Rais Jakaya Kikwete alikwenda tena ikiwa ni mara ya pili mfululizo katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam alikolazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), kumjulia hali.
Source: Gazeti la Mwananchi
mshaurini na dr wa ukweli awe anatafuta mda anatembelea wagonjwa na kuwafariji na wafiwa pia,humu duniani tunapita tu,hata uwe unavaa magwanda ipo siku nawe utakufa.unapokua mzima unajiona una immunity from death na kuanza kukejeli walio mahututi jua hata wewe utafuata njia hiyo.kwa kometi za kuombea watu wafe sijui utajisiaje nawe ukiwa umekufa alafu watu waanze kuzisoma .
Mbona anachelewa kufa huyu mtu?...