Manumba alazwa ICU Aga Khan


Simply kumzindua mgonjwa ambaye comma yake inatokana na infectious or pandemic desease ni ngumu sana...tofauti na comma za ajali,pressure etc....na ndio maana wagonjwa walio ICU Kama Hana infection wanachunga sana aspate...ndo maana wanazingatia sana tahadhari hata kwa Watu kumtembelea wodi
 
wewe umepotoka babalao.yani hata kwajina lako la bandia haiviti kuandika unayoandika.
Unajilet down sana asee,badilika usiwe mkereketwa wa siasa hadi kuloose logic.

Mdogo wangu Elungata jitahidi upate ka course kanaitwa "Critical thinking and logical argumentation"

Kwanini nasema hivi: Kwenye logics kuna kitu kinaitwa implication ni vizuri ukakijua pia.

Pia uelewe kwa undani misingi ya uwajibikaji (responsibility).Mwajibikaji siyo lazima awe mtenda anaweza pia akawa aliinjinia na kushauri au kufinance.

Kuna swali moja nakuuliza juu ya DCI: Kwanini kwenye swala la ulimboka hajahojiwa hata mtu mmoja lakini la Kamanda Barlow halikuchukua hata 1 week kwa ushirikiano wa DCI wahusika wote wakakamatwa? Do you want to say Ulimboka na Barlow wanatofauti mbele ya sheria na haki za binaadamu?

Ukishajibu hapo nitaendelea kukupa changamoto bwana mdogo!
 

hayo mambo ya intelligency mimi sio mchanga nko nayo sambamba toka enzi za akina j Edgar Hoover.
Najua watu wa inteligency hasa mabosi kama director wa c.i.a wanakuwa na mambo mengi sana in the name of national security,na wanaweza hadi kusacrifise raia wasio na hatia in the name of NATIONAL SECURITY,you of all people should know about it.
Hata ivo manumba hayuko intelligency,yeye yuko CRIMINAL INVESTIGATION.
Kuna tofauti hapo.
Yesu unaemuabudi alikua anatembelea wagonjwa anawaombea na kuwaponya hakua anawaombea mauti ni mfuasi wa shetani tu ndo anaweza kumuombea binadamu mwenzake mauti hata kama alikua mbaya kiasi gani.
 
Damu ya Daudi Mwangosi itaondoka na watu wengi mno!
 
Upone haraka Manumba,taifa linakuitaji,tunataka majibu ya sakata la Dr Ulimboka na wote waliokufa kwa kupigwa na vitu vizito....ila malipo mengine ni hapahapa duniani.
 
hana anachokifanya katika ofisi yake zaidi ya kuvionea vidagaa go! go! go!
 
May Almight God give your blessing to make him recover soon.

We appriciate that you can do something to him and for others who are suffering in different ways.

We bag that and consider our prayer will be considered v/s all name we usuall call you.

Amin.
 

kwahiyo kuombea watu kifo ndio CRITICAL THINKING HIYO?.
Kumbe mindset yako imebase kwa ulimboka.hata kama,alifanyiziwa na serikali basicaly hizo sio issue za CRIMINAL INVESTIGATION,hapo ungesema watu wa intellgence.
Tatiza una generalise,askari polis koplo akimtwanga mtu risasi,serikal yote unaiita wauaji.
Anyway sina sababu ya kumpenda huyo manumba after all jembe langu ponda bado yuko ndani.LAKINI SIWEZI KUMWOMBEA AFE TENA MBELE YA KANDAMNASI
 
isiitukanishe dini ya watu hakuna imani ya dini inaemwombea mgonjwa kufa wala marehemu kwenda motoni ndo maana baada kifo ni R.I.P

Ndugu hata ukikesha mwaka mzima unamuombea mtu R.I.P,kama hakutubu mwenywe na kutengenza
njia yake haitabadilisha chochote,atakuwa kule alikostahili kuwa kutokana na status aliyoondoka nayo
duniani"
 
tunataka kujua kwa nini Kikwete amtembelee mara kwa mara??kuna siri gani hapo?
 
Mimi ni mgeni sana lakini bwana Elungata Manumba nisawa na Dr. Ulimboka pamoja na Mwangosi aliyeuawa na watu waliochini yake na yeye hakutaka hata kufanya uchunguzi kama alivyofanya kwa kamanda Barlow. Ukiona mtu anapiga kelele ujue kisu kimefika kwenye mfupa. Kumbuka mkiki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu kaka.
 
taarifa za ndani hapa ni muhimu sana inaweza ikatupa picha ya chanzo cha ugonjwa wake kama ni mbuu au kitu kingine
 
MUNGU nakuomba muinue kiumbe wako alie taabuni, mapenzi yako yatimizwe wasamehe wote wenye kumtakia mabaya najua kuna kazi yako na ya shetani lkn hakuna aliye juu yako, watu wako wanajaribu kukusahau na kumkumbatia shetani Mungu mkuu wageuze watu hao wajue ubaya hulipwa kwa wema. wasaidie wasiishi kwa hisia , waishi kwa ile kweli itokayo kwako.
 
labda Mungu wako sie wa kwetu ni jino kwa jino,mchubuko kwa mchubuko na kama haitoshi anasema auaye kwa upanga atauawa kwa upanga!
 
Kuna wakati nahisi JF pia kuna majini na marukhani...ndio maana baadhi ya comments huwa sijibu nahisi ntakua najibizana na maruhani.. Mimi namuombea tu heri na augue pole ndugu Manumba nina wajibu wa kufanya hivyo.
 

Unapofanya wema usipende kutangaza au kuonekana nawatu!!Kama kweli nimtu waimani tenda kiimani tu Mungu atakulipa nasimpaka uwe nawanahabari!
 
labda Mungu wako sie wa kwetu ni jino kwa jino,mchubuko kwa mchubuko na kama haitoshi anasema auaye kwa upanga atauawa kwa upanga!
ungetumia neno Mungu wangu tofauti na wakwako nisingekujibu lkn kwa kuwa umetumia neno Mungu wako sie wa kwetu, maana yake nashawishika kuisema ile kweli kwa niaba ya wengine. UISLAM Na UKRISTO yule wanaye muabudu huimiza UOVU Kulipwa kwa WEMA sasa kama ww hutokani na dini hizo na unakiu ya kuijua kweli ili hiyo kweli ikuweke huru. jiunge na moja ya dini hizo ili shetwaini akae mbali nawe.
 
kwa taarifa yako mie ni wa Simba wa Kabila la Yuda kweli naijua na imeniweka huru na kama haitoshi nimeiona njia na naifuata! sema jingine! au nikuongeze aya nyingine nini? usimwache mtu muovu aishi na wala usililie msiba wake! upo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…