LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,626
- 1,207
- Thread starter
- #41
Faida kubwa za Kutumia mitandao katika kujitambulisha na kuendesha biashara/huduma zako utazipata pindi utakapojibidiisha ktk kuboresha bidhaa/huduma zako. Bidii yk ya kila siku ndio itakayokuzalishia ufanisi zaidi ktk kazi zako. Na ktk soko la mtandaoni, Ufanisi wako Ndio Mtaji wako.
Moja ya kazi zangu mpya za wateja wangu walioko nje ya nchi:
Moja ya kazi zangu mpya za wateja wangu walioko nje ya nchi: