LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,629
- 1,215
- Thread starter
- #21
Offer bado inaendelea. Karibuni sana
Hongera sana mkuu upo njema
Mkuu naomba kuuliza unatumia program gani katika kutengeneza kazi yazo maana ziko poa sana
Asante sana. Natumia Adobe Illustrator CS5
Kamanda mie nimekupa nyota5 maana sapo tu inatisha ile mbaya, mie najaribu kujifuza adobe csi6 ila inanipa shida sana juu sina notice si unajua mambo ya teach your self, naomba kuuliza kama unajua site nayoweza pata noyice za hio kitu