Manoah na Mimisa:Hakuna mapenzi tena

Manoah na Mimisa:Hakuna mapenzi tena

Status
Not open for further replies.
ndo hivo..tumejitahidi kadri tulivoweza..but imeshindikana..
copy: Baba V ,cuzin @snowhite,my dia Rich woman,ma dia Zion Daughter na wote wahusikao umu cc

Here we go baby.........!!!!! mimisa come this way, nilikwambia tangu mwanzo kuwa manoah hafai hukuniskia, it is not too late mie nipo, come this way upate comfort baaaby...!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtoto Mimisa tulia ule bata kwa mkuu Manoah.Usiache mbachao kwa msala upitao.
 
mimisa my dear nini tena?!Inabidi kikao cha ndugu kiitishwe haraka kwa ajili ya usuluhishi
 
Last edited by a moderator:
dogo mimisa unakumbuka nlikuambiaje???
manoah achana na haka ka mimisa kama ukikosa mi mwenyewe nitaingia ulingoni
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom