Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,209
- 99,959
No No No huwa na mimi akibanwa sana namruhusu kidogo ndio maana, kama huamini ngoja tu-test
aaa wap...anakuvumilia tu..
aaa wap...anakuvumilia tu..
Wallah leo lazima nikununulie Voucher Mpwa wangu...sio vocha ya simu ni voucher ya pembejeo za kilimo
Bishanga and me for life
mapendo yenu 'yamejengwa juu ya mchanga..
am happy for u...
Ole wako uniache The secretary,siku hiyo ntafakamia mkorogo wa flagyl,safari lager,sumu ya panya,kimpunyu,nyongo ya mamba na thiodan kisha tuone utapata wapi mwingine kama Bishanga.
Kopi: Kongosho........niandalie hii concoction naona C.T.U anaingilia anga zangu kisa kanunua kiwanja dubai.

ndo hivo..tumejitahidi kadri tulivoweza..but imeshindikana..
copy: Baba V ,cuzin @snowhite,my dia Rich woman,ma dia Zion Daughter na wote wahusikao umu cc
ha ha ha The secretary.. unavumilia mengi toka kwa Bishanga.. kwa kuwa unamchuna utasema hivyo.. siku akifilisika utalianza kama wengine wewe..