Manoah na Mimisa:Hakuna mapenzi tena

Manoah na Mimisa:Hakuna mapenzi tena

Status
Not open for further replies.
Arushaone nilipeleka ombi kwa Baba V longtime
kuwepo ndoa za mkataba lakini kutokana na kuwa nyuma ya nondo mara kwa mara
hajaweza kulifanyia kazi,
matokeo yake ndo haya
watu wanataka wana ndoa wababanane hadi mwisho
utajuaje alichokikuta mimisa kwa manoah?

Sitaki kusikia habari hii............. Baba V itisha kikao cha usuluhishi fasta before is too late. Ndoa ya manoah na mimisa hatukubali ivunjike.
Nakuomba Madame B mshike mkono mama yake manoah bi gfsonwin mkampitie mshenga Bishanga na mshauri wa ndoa Mamndenyi mkaiokoe ndoa hii.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha. Mamdenyi jaman...nilikua sijafunga ndoa bado..tulikua na uchumba safi sn..bs tu..imelazimu itokee ivo
Arushaone nilipeleka ombi kwa Baba V longtime
kuwepo ndoa za mkataba lakini kutokana na kuwa nyuma ya nondo mara kwa mara
hajaweza kulifanyia kazi,
matokeo yake ndo haya
watu wanataka wana ndoa wababanane hadi mwisho
utajuaje alichokikuta mimisa kwa manoah?
 
Last edited by a moderator:
Babaake @52 kun'nini tena hapa?
Nawaskia kutiana! Mwatiana nini usiku huu?
Nway nisiwarushe kwanza tianeni mkimaliza utaniskumia mtasali (muhtasari)

Heheheeee
Wife analalamika namtia sana pressure wakati ye ndio anasababisha nimtie ila asijali ntapunguza ili apumzike.
 
uliupewa mtasali?

Back
Top Bottom