Manji tena !? - Zabuni ya Manji yaigawa Manispaa ya K`ndoni

Kasheshe,

..watu wanataka kubanana na mmiliki wa kampuni. hayo masuala ya jina la kampuni hayatusaidii sana hapa. inaeleweka kwamba mmiliki ni Manji, so lets go frm there.
 
Hivi kuna kampuni hata moja linamilikiwa na manji lime-be-registered MANJI? maana naona sasa tunaandika kama hatujaenda shule why do you address an entity which has not done any business with u?

Utapata taabu nao bure, yaani concept ndogo tu ya entity haipandi kwa wengi
 
Mhindi ametuingizia miti nyuma ya miili yetu.tumekuwa speechless,stupid

Kwi kwi kwi kwi,

Hii imenivunja mbavu zote kabisaaa.

Yaani nimejaribu ku-imagine miafrika kibao imejipanga foleni (tena ikiwa uchi) huku mhindi mmoja tu (hana hata bunduki) akiingiza vipande vya miti kimoja baada ya kingine (kuanzia kwa hamisi hadi kwa halima) na hakuna liafrika hata limoja linalosema stop.. enough...(jaza chochote hapo).
 
Hivi kuna kampuni hata moja linamilikiwa na manji lime-be-registered MANJI? maana naona sasa tunaandika kama hatujaenda shule why do you address an entity which has not done any business with u?

Utapata taabu nao bure, yaani concept ndogo tu ya entity haipandi kwa wengi

Haya sasa nyie wataalam, hebu tupeni maelezo ni wakati gani CEO, Director au Chairman ana take blame or credit of a situation kwenye kampuni au organisation yake?!
 
Haya sasa nyie wataalam, hebu tupeni maelezo ni wakati gani CEO, Director au Chairman ana take blame or credit of a situation kwenye kampuni au organisation yake?!

Achana na hawa mafisadi. Usikute wakatwambia tuzilaumu Kagoda na Richmond kwa ufisadi wao na wala tumsiguse Rostam.
 
hivi labda kina Kasheshe hawaelewi nadharia ya piercing the corporate veil. Mtu huwezi kufanya ufisadi na kujificha nyuma ya "entity"... Not anymore anyway.. kama hawaamini wamuulize yule jamaa wa Enron!
 
Sometimes they do have a point, lakini mara nyingi naona utetezi wao ni ili mradi tu wametick vibox, ya kwamba, yes - pale wale wanaforum waliposema hivi... we fiercely objected to it!!
 
Sometimes they do have a point, lakini mara nyingi naona utetezi wao ni ili mradi tu wametick vibox, ya kwamba, yes - pale wale wanaforum waliposema hivi... we fiercely objected to it!!

  • REDET - Kikwete anafanya kazi nzuri ila serikali anayoiongoza ndiyo inapwaya.
  • KASHESHE - Msimlaumu Rostamu kwa ufisadi wa Dowans.
  • MASATU - Quality Garage ni entity inamhusu vipi Manji ?
  • 70% YA WATANZANIA - CCM ni chama safi tatizo ni viongozi wake !

Unafika pahala unatamani uwanyonge watu wengine kama kweli unataka kuondokana na hii mindset ya kijinga, ggrrrhh ! do we have to destroy a whole generation to bring sense into some heads, I am so mad. so fu..n. mad:mad:
 
[/COLOR]
Rekebisha kauli yako la sivyo mimi nakuruka,kwani mimi ni mkristo kamili hivyo kuingizwa kitu nyuma ya mwili ni dhambi kubwa ambayo sitoweza kuikabili.Inawezekana wewe na wenzio ndio mnao.....miti.Mimi simo!

Huwa unajisiakaje mapadri na maaskofu wanaposema gay priests ni ruksa?
 
Haya sasa nyie wataalam, hebu tupeni maelezo ni wakati gani CEO, Director au Chairman ana take blame or credit of a situation kwenye kampuni au organisation yake?!

Naomba kujibu kwa kupitia kwenye mgogoro mwingine unaokuzwa na elimu duni.

TRL - ni kampuni ambalo shareholders wake ni URT na RITES.

TRL - Inaongozwa na management iliyopitishwa na shareholders wake kupitia kwa bodi.

Bodi ya TRL imekasimu day to day operations ya TRL kwa management ikiongozwa na CEO.

Wafanyakazi wa TRL wameajiriwa na Management ya TRL.

Hivyo matatizo yote ya ujira na mahusiano ya kazini sharti yatatuliwe na Management ya TRL.

---> Leo hii kwa upuuzi wetu, ati mfanyakazi wa TRL anabiga magungu kumsema shareholder mmoja kati ya wawili wa TRL, yaani RITES, hali ikijulikana mwajiri wake TRL ni muungano wa URT na RITES,
Hivyo ni wazi kabisa kwamba hakuna direct link ya mfanyakazi na RITES, na kama mfanyakazi hawajibiki kwa shareholders na hana haki au wajibu wa kupangia shareholders kipi wafanye na kwa sababu gani?

please connect the dot to understand your question.

Be aware that corporate governance have appropriate time to link Board of Directors to mismanagement of the company!... and not to shareholders.
 
Kasheshe,

..watu wanataka kubanana na mmiliki wa kampuni. hayo masuala ya jina la kampuni hayatusaidii sana hapa. inaeleweka kwamba mmiliki ni Manji, so lets go frm there.
I can agree with you if these businesses are households, but surely sitakuwa najitendea haki ati nijifanye sijui biashara za utandawazi zinafanyika vipi?

Naomba unisaidie kampuni kama TBL ikichemsha mahali utamsema nani? na kama ukishindwa hilo then please stop.... doing machinga thinking style!
 
I can agree with you if these business are household, but surely sitakuwa najitendea haki ati nijifanye sijui biashara za utandawazi zinafanyika vipi?

Naomba unisaidie kampuni kama TBL ikichemsha mahali utamsema nani? na kama ukishindwa hilo then please stop.... doing machinga thinking style!

inategemea inachemsha vipi? kwa sababu unaweza kuishtaki kama kampuni lakini mengine yakitokea unawashtaki hata maafisa wake; you pierce the corporate veil.
 
inategemea inachemsha vipi? kwa sababu unaweza kuishtaki kama kampuni lakini mengine yakitokea unawashtaki hata maafisa wake; you pierce the corporate veil.

You are right maafisa wake! sio shareholders wake! in other words you can go as far as board of directors: and not shareholders.

Aidha naomba kuwakumbusha tu, kwenye saga ya NICOL, waliotaka kupelekwa kwa pilato walikuwa board of directors, na sio shareholders!
 
This is M.D.S (Manji Derrangement Syndrome). Manji this, Manji that, Manji = fisadi, Manji is out to get me, Manji is under my bed, Manji gives me nightmare when I go to sleep, are all symptoms of this disease. If you have no evidence to prove any allegations against Manji then leave the man alone.
 
What is the clinical name of manji Derrangement syndrome? It could be Yanga's financial problem I think
 
Bado watu watadai Manji kaonewa. Ila yapo madudu yake humuhumu JF ya miaka mingi tunazidi kujisahaulisha!
 
hivi labda kina Kasheshe hawaelewi nadharia ya piercing the corporate veil. Mtu huwezi kufanya ufisadi na kujificha nyuma ya "entity"... Not anymore anyway.. kama hawaamini wamuulize yule jamaa wa Enron!
Nadhani wataamini sasa.
 
Back
Top Bottom