Manji tena !? - Zabuni ya Manji yaigawa Manispaa ya K`ndoni

Haya mafisadi wacha yahenyeshwe yamekuwa mafisi muda mrefu sana tena bila huruma yamekuwa yakila hadi mifupa. Watu kama hawa kina manji they EVIL. Wizi Wizi bila hata chembe ya huruma. And they r bragging for being fuckin rich! !! Si wautafute kihalali??
 
Ajabu kwa sasa upinzani unatetea hili fisadi ati anaonewa, aisee kuwa na akili za wapinzani wa namna hii inahitaji moyo, wanaenda na upepo ili tu kila kitu waipinge serikali
 
Ajabu kwa sasa upinzani unatetea hili fisadi ati anaonewa, aisee kuwa na akili za wapinzani wa namna hii inahitaji moyo, wanaenda na upepo ili tu kila kitu waipinge serikali
Inabidi tuwe na Ukuta maalumu ulioandikwa majina ya mafisadi na watu wawe wanaenda kuhiji hapo ili akili zao zikae sawa.

mimi ninachoshukuru ni kuwa kuna Nyumbu wachache sana ndio wanasumbua jamvi...kwani huko mtaani wananchi wanawaelewa vilivyo hawa mafisadi.
 
Back
Top Bottom