Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,896
- 22,100
Labda turudi 1900 mpaka sasa tuangalie uzalendo kwa vitendo ( sio kwa rangi)
Maendeleo yalofanywa na waafrika na wahindi..maendeleo yalogusa kila mtu....haya yakiwa secta ya
Elimu
Afya
Michezo
Kilimo
Makaazi
Ulipaji kodi zaidi
Misaada ya kibinadamu
Usafi wa miji
Tujadili haya kwa kujipima ...then ndo tuwanyoshee vidole...Ujiangalie umeifanyia nn tanzania sio kuchochea ubaguzi.
Kuanzia naanza na Muhimbili hospital imejengwa mhindi ..endelea upande wa pili
Tofauti kati ya mazishi ya watu siyo kigezo cha utaifa wao. Daudi Balali ni mtu wa huku Iringa sehemu moja inaitwa Malangali, lakini kazikwa Marekani. Kuna mahujaji hufia Makkah na huzikwa huko huko Makkha. Mazishi ya mtu kufanyika mahala inategemea na mapenzi ya mtu. Nenda Arusha kuna watu lukuki ambao kwa asili ni "watanzania" lakini wamezikiwa Nairobi kenya.
Kuna watu wana imani kwamba wakifa wasisafirishwe kwenda kuzikiwa kwingine, hao nao wasafirishwe kuja kuzikiwa Tanzania kwa hofu kwamba wakizikiwa huko wataonekana kuwa si watanzania!! Kuna watu hapo hapo Dar huzikiwa Makaburi ya Kisutu na wengine hata iweje ni lazima wazikiwe Makaburi ya Kinondoni.Mahali anapozikwa mtu inategemeana na utashi wake au wa familia yake baada ya kifo kutokea na wala haihusiani na utaifa wa mtu. Kuna watanzania wengi tu wamezikwa nchi za nje ingawa uwezo wa kuleta maiti zao ulikuwepo!!
Matola mimi hoja yangu ni kwamba hamuwezi kuundoa utanzania wa Manji eti kwa sababu tu ni mhindi au kama mnavyosema ni fisadi. Kuna makabila hapa tanzania wanapiga sana wake zao, wengine wanauana sana, lakini huwezi sema kwamba si watanzania kwa kuwa tu wana tabia hizo. Manji ahukumiwe kwa makosa yake lakini asishutumiwe kutokana na asili yake!!
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
Queen Esther unataka kuniambia kwamba viongozi wa CCM huwa wanashinda kwa kununua kura? Halafu huyo Manji kwa nini awanunue wapiga kura wa UKAWA badala ya kuwanunua CCM wanaopitisha jina la Mgombea U-meya? Mbona unataka kujenga picha kwamba wanunua kura wapo CCM ila kura zinazonunuliwa zipo UKAWA? Kwa nini Manji asinunue kura za wana CCM wenzake?
Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni.
Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..
Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.
Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?
Atueleze vizuri..
Nchi yake ipi? Tanzania? Ngoja nikae kimya
Kama anaisi kuthamini ni kupola maeneo ya wazi imekula kwake aende kwa wachotala wenzie huko uraia sio lazima awe mzaliwa aende wakamsajili mbele ya safar huko
Jipu litumbuliwe tuu
Hivi kuna vitendo vingapi vya uhujumu uchumi ambavyo amevifanya na amejaribu kufanya?! Yeye haithamini nchi yake.
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
tajaa kitendo hata kimoja alichohujumu
@Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!
Ahame inchi,namjua kama mpigaji na mdhulumati ukifuatilia apeech ya mengi JPM hawezi muonea ivi ivi tuu kuna rafu apo.
Maana utajiri wote alionao ukiuliza kodi alipayo sasa ndo unaweza zimia
Uhindi wake ndio unaomponza maskini
fanya kazi wewe..men mzima unafatilia nyumba za watu huoni aibu.. dah! sasa unataka wakajichanganye ili iweje?so u not 2 stay inside u refrain from evil? au hulijui hilo? sisi kazi yetu si ni zogo,majungu hatuna kazi nyingine ndiomaana hatuendelei
Siwi mbaguzi, lakini suala hili lazima serikali ya Magufuli iliangalie kwa umakini: Sehemu kubwa ya Utajiri wa Tanzania imeshikwa na Wahindi.
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni.
Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..
Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.
Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?
Atueleze vizuri..
Tukianza kuwaona watu wenye athiri ya bara la asia sio waTz tutaanza waona wa mikoa ya mpkan sio Tz mwishowe Tz sijui itabaki ya kina nani ?
Dio Athiri ni Asili
Labda turudi 1900 mpaka sasa tuangalie uzalendo kwa vitendo ( sio kwa rangi)
Maendeleo yalofanywa na waafrika na wahindi..maendeleo yalogusa kila mtu....haya yakiwa secta ya
Elimu
Afya
Michezo
Kilimo
Makaazi
Ulipaji kodi zaidi
Misaada ya kibinadamu
Usafi wa miji
Tujadili haya kwa kujipima ...then ndo tuwanyoshee vidole...Ujiangalie umeifanyia nn tanzania sio kuchochea ubaguzi.
Kuanzia naanza na Muhimbili hospital imejengwa mhindi ..endelea upande wa pili
Dio Athiri ni Asili
ni sio badala ya dio
Mkuu wakiambiwa kuondoka ondoka nao
Makampuni ya weusi pia uajiri weusi, wachagga uajiri wachaga wengi, wamatumbi halikadhalika. Sijaona ajabu hapa na pia kumbuka si wahindi tu wanaoajiriwa, ninafahamu weusi wenzangu wengi wanaofanya kwenye makampuni ya unaowaita wahindi!kama ni mtanzania mbna kaweka wahindi kwnye kampuni zake
Sasa Yanga itafanya uchaguzi...maana alikuwa karibunafanywe mfalme pale.magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga