Lobapula
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 2,388
- 1,582
Sjakwambia utume bali uweke hapa hizo conditions ili maroporopo wenzako waeleweNimekupa kifungu kasome kama huna sema nikutumie CPA,
Sjakwambia utume bali uweke hapa hizo conditions ili maroporopo wenzako waeleweNimekupa kifungu kasome kama huna sema nikutumie CPA,
Wewe ni mpuuzi ,nasitisha mjadala na wewe unataka nikufundishe ukasumbue wenzio.Sifanyi kazi za kijungu jiko.Pompompo mkubwa.Sjakwambia utume bali uweke hapa hizo conditions ili maroporopo wenzako waelewe
Kumbe ni Lumumba makinikia jazz bend,siyo kosa lako.Wewe ni mpuuzi ,nasitisha mjadala na wewe unataka nikufundishe ukasumbue wenzio.Sifanyi kazi za kijungu jiko.Pompompo mkubwa.
Umebakiza taarab badala ya hoja hahaaaa kamanda bhanaKumbe ni Lumumba makinikia jazz bend,siyo kosa lako.
Buku saba bwanaaaaUmebakiza taarab badala ya hoja hahaaaa kamanda bhana
wee mechi lini naSio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga
Uking'atwa na Mbwa Kichaa wa Kwanza halafu ukapata majeraha makubwa na ukajitibia kwa taabu sana mpaka ukapona unatakiwa safari hii uwe na makini na aina ile ile ya Mbwa Vichaa kwani huenda wakikubahatisha tena safari hii wakikung'ata hutaishia tu kujeruhiwa bali huenda hata ukapoteza maisha / ukafa kabisa.
Hahaha acha tuendelee na fake ids tuHuwezi kutajirika kwa kumchukia tajiri, wewe utabaki kuona picha za noti kwenye sanduku tu.
--mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeniManji anajitahidi sana kutoa ajira kwa vijana ameanzisha miradi mingi mfano wa Fastafasta ambao umetengeneza ajira kwa bodaboda na madereva wa tax.
-- hii ndo tanzania mpya. ila wasije wakasahau kama watoto zao na watoto wa masikini wanafanya kazi kwa wanae mnyanyasa. ila watambuwe akuna marefu yasiyokuwa na na mwisho. sisi hapa tunapita tu. na one day atakuwa rahia kama wengine walio pitakasome vizuri kisayansi haipo hivyo, maana utakuwa umedevelop immunity vs rabbis that what is happening kwa manji, he is stronger now than ever,
-- hii ndo tanzania mpya. ila wasije wakasahau kama watoto zao na watoto wa masikini wanafanya kazi kwa wanae mnyanyasa. ila watambuwe akuna marefu yasiyokuwa na na mwisho. sisi hapa tunapita tu. na one day atakuwa rahia kama wengine walio pita -- unaitaji kuwa kama putin ili u control wafanya biashara na matajili. mwakani upite tena. mwakani ufunguo wa kuingia tutachonga wote. tutawai kuingia na kukutowa.Shukrani ya punda ni mateke
Hiyo inaweza kuwa moja ya interpretations. Ingawa mimi naona kutokana na namna Magufuli anavyowasema matajiri na ‘ku-deal’ nao, maskini wengi wanavutiwa. Na ukiangalia kushangilia kwao ni kwamba heri wote tukose! Hii ndiyo mitazamo ya kimaskini. Hawajui trickle down effect wa kuwa na matajiri.Ha ha ha....watu wengi humu JF wanasema masikini wanachukia matajiri inaonesha humu matajiri wengi sana.
Ila jamani wakulima poleni sana yaani tunaisoma namba! mie nililima ngwara yaani Kenya walikua wanunuzi wazuri ila tokea jini mkata kamba aingilie kati tunauza humumhumu nchini bei ndogo. Siasa mbaya kweliMh manji njoo huku mtwara ununue mbaazi sie wakulima tunateseka na bei ya tsh 150/= kwa kilo