Manji aliondoka na Yanga haikufa, kwanini Moo asiondoke atuachie Simba yetu?

mwarabu feki

JF-Expert Member
Feb 16, 2023
682
1,461
Wakuu sitaki hata salamu, Kwa Hali ya mambo ilipofikia ni wazi kuwa ili Simba isonge mbele ni lazima maamuzi magumu yafanyike.
Uamuzi wa kwanza ni mwekezaji wetu Mohamed Dewji anapaswa kukaa pembeni na aendelee tu kuwa mshabiki/mdhamini

Tunao mfano hai Kwa hawa ndugu zetu utopolo, Manji aliondoka na timu ikapitia msukosuko kidogo tu ila wamejitokeza wawekezaji ambao wanamwaga pesa zaidi ya Manji na Yanga imepiga hatua kubwa kuliko wakati wa Manji.

Sisi Simba tunaogooa nini?
Simba ni brand kubwa barani Afrika.
Hivi tutaendelea kumlamba miguu huyu kanjibai paka lini?
Yaani Kumbe hata ahadi anazotoa Kwa wachezaji wajitume maradufu kwenye zile mechi ngumu Kumbe hatimizi

Wakati ni Sasa tupige kelele za nguvu Moo atuachie timu yetu..
maxresdefault(19).jpg
 
Ni kweli mkuu hizi timu hazitakufa kabisa hata Mo atapeleka fedha Yanga atake asitake atapeleka tu, ila hawa mashabiki maandazi hawalijui hili, lakini wana bajeti yao Wizarani endapo maji yatawafika shingoni, lakini mpaka matajiri wote wafilisike, ila sioni matajiri wakifilisika kama Serikali ipo imara.
 
Usisahau lile bakuli walilokuwa wanatembeza na zile meseji za
ILE HELA TUMA KWENYE NAMBA HII.

MIMI MWENYE NYUMBA WAKO NAONA SIKU ZIMEKWENDA.

Ni sms ziluzosambazwa na wana YANGA gafla manji aliposepana kuacha timu haina kitu.

Mind yu don't trust the asians waliopo kwenye hizi clubs wote ni matapeli yamekuja kufanya money laundering na kulipa tumishahara na kusajili makocha. Wao wanaangalia interest zao tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom