Manji akibembelezwa 'tutapigwa' tena

Manji akibembelezwa 'tutapigwa' tena

Sethi na Rugemalira ni siasa tu za kafara na uonevu.

Huwezi kumkamata Rugemarila kwasababu tu yeye pesa zake aliamua kuwagawia watu wake hadharani kupitia Mkombozi Bank halafu wengine wote waliogawana pesa kupitia Stanbic Bank mpaka leo imebaki kuwa SIRI kubwa.
Tatizo unajitanya kujua wakati hujui wewe!
 
Hivi so ndiye aliyeita watu mbwa ....ameanaza Tena kiburi!
 
Hizi zile pikipiki za Honda alikuwa akiziingiza kama bidhaa za kilimo na kusamehewa kodi si ndiye yeye?
 
Manji hakuondoka nchini au kuadhibiwa kwa "Upigaji"

Manji alishughulikiwa kwa beef personally kabisa na Magufuli.

In short Manji hakuwahi kuwa kiongozi wa serikali nchi hii, alipiga kwa kushirikiana viongozi wa serikali ambao wengine kila serikali inayoundwa wapo.

Magu angekuwa anamshughulikia Manji kwasababu za upigaji, asingemkaribisha Rostam Ikulu na angewadhibiti walioshiriki kula na Manji pia.

Sasa huwezi kudeal na Manji personally wakati wapigaji wengine kama yeye unafumba macho. Huo ni uonevu.

In short, kwa walalahoi ujio wa Manji ni faida kuliko hasara, kwasababu:
  • Ajira
  • Kodi
  • Ununuzi wa mazao hasa Mbaazi na ufuta

Kuhusu UPIGAJI hata asipopiga yeye, UPIGAJI upo, watu WATAPIGA hata kama siyo Manji na wala hatutapata faida yoyote.

Suala la UPIGAJI lipo tu, whether Manji yupo au Hayupo.
Umemaliza ukweli wote.
 
Sidhani Manji ana nia ya kuwekeza Tanzania. Hakuna hakika kilichotokea hakita jirudia . Aliondoka unceremoniously . Atakuwa amerudi kufanya stock taking kilichobaki na kufanya systematic withdrawal.
 
Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'..

Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na alishirikiana na 'viongozi' wetu maeneo mbalimbali.

Pori la Nafco pale Kigambon ni eneo moja ambalo alilipiga akiwa amejiandaa 'kuiuzia tena ' serikali'. Kampuni yake moja ilipewa tenda mbalimbali za upimaji wa ardhi na kuwaweka 'mfukoni' madiwani karibu wote hadi kufanya kampeni ya kumchagua Didas Masaburi enzi hizo ili mambo yake yaende.

Inawezekana kuna maeneo 'alionewa'lakini kama kuna watu wanataka abembelezwe na 'kurudishiwa 'kila kitu basi watakuwa tayari 'kuruhusu '.

Tupigwe tena with revenge ..na watu aina ya Manji.

Si ajabu akadai hadi fidia..
Samahani je kwanini mnapenda kuziishi tetesi? Je angelikuwa amefanya hivyo usemavyo kwanini aliachwa apite salama pale JNIA alipokuwa akiondoka nchini kwenda nje maana HAKUTOROKA na Bwana yule mtenda "haki" wala hakutangaza kwa umma kwamba Manji katoroka... sasa sijui tukuamini wewe au Bwana yule...
 
Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'..

Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na alishirikiana na 'viongozi' wetu maeneo mbalimbali.

Pori la Nafco pale Kigambon ni eneo moja ambalo alilipiga akiwa amejiandaa 'kuiuzia tena ' serikali'. Kampuni yake moja ilipewa tenda mbalimbali za upimaji wa ardhi na kuwaweka 'mfukoni' madiwani karibu wote hadi kufanya kampeni ya kumchagua Didas Masaburi enzi hizo ili mambo yake yaende.

Inawezekana kuna maeneo 'alionewa'lakini kama kuna watu wanataka abembelezwe na 'kurudishiwa 'kila kitu basi watakuwa tayari 'kuruhusu '.

Tupigwe tena with revenge ..na watu aina ya Manji.

Si ajabu akadai hadi fidia..
Utopolo wanataka kuturudishia huyu mwizi wa mabilioni ya NSSF na PPF, hafai kabisa huyu Mafia.
 
Manji hakuondoka nchini au kuadhibiwa kwa "Upigaji"

Manji alishughulikiwa kwa beef personally kabisa na Magufuli.

In short Manji hakuwahi kuwa kiongozi wa serikali nchi hii, alipiga kwa kushirikiana viongozi wa serikali ambao wengine kila serikali inayoundwa wapo.

Magu angekuwa anamshughulikia Manji kwasababu za upigaji, asingemkaribisha Rostam Ikulu na angewadhibiti walioshiriki kula na Manji pia.

Sasa huwezi kudeal na Manji personally wakati wapigaji wengine kama yeye unafumba macho. Huo ni uonevu.

In short, kwa walalahoi ujio wa Manji ni faida kuliko hasara, kwasababu:
  • Ajira
  • Kodi
  • Ununuzi wa mazao hasa Mbaazi na ufuta

Kuhusu UPIGAJI hata asipopiga yeye, UPIGAJI upo, watu WATAPIGA hata kama siyo Manji na wala hatutapata faida yoyote.

Suala la UPIGAJI lipo tu, whether Manji yupo au Hayupo.
CCM ni ile ile,miaka yote CCM imekuwa ikifadhiliwa na mafisadi papa,haiwezi kuondokana nao ni kama oxygen yao.
 
Yaani hata siyo CCM tu sema watu ni wale wale.

Hao wazee wa fursa unaowaona leo wako CCM, ikitokea chama kingine kikashika madaraka na wao watahamia huko huko kuendelea na shughuli zao.
 
Back
Top Bottom