Manji akibembelezwa 'tutapigwa' tena

Manji akibembelezwa 'tutapigwa' tena

Manji ni mwizi mbaya zaidi kadhulumu hadi waislamu wenzake, pamoja na kwamba nilikuwa sipendi tabia za ubabe wa kupitiliza wa rais aliyepita lakini alirudisha displine kwa kuwashugurikia watu kama Manji.
Kuna watu wanalalamika kuhusu mafao ya wastaafu lakini Manji ni mmoja wa watu walionufaika na pesa za wastaafu kwa kifupi Manji sio mfanyabiashara bali ni mpiga dili akishirikiana na viongozi wenye tamaa waliokuwepo serikalini.
 
Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'..

Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na alishirikiana na 'viongozi' wetu maeneo mbalimbali.

Pori la Nafco pale Kigambon ni eneo moja ambalo alilipiga akiwa amejiandaa 'kuiuzia tena ' serikali'. Kampuni yake moja ilipewa tenda mbalimbali za upimaji wa ardhi na kuwaweka 'mfukoni' madiwani karibu wote hadi kufanya kampeni ya kumchagua Didas Masaburi enzi hizo ili mambo yake yaende.

Inawezekana kuna maeneo 'alionewa'lakini kama kuna watu wanataka abembelezwe na 'kurudishiwa 'kila kitu basi watakuwa tayari 'kuruhusu '.

Tupigwe tena with revenge ..na watu aina ya Manji.

Si ajabu akadai hadi fidia..
Arudi Manji
 
Mkuu huwa nakukubali Ila hii Hoya std 7
Tatizo Ni manji au tatizo Ni Hao watawala wenu na taasisi zenu dhaifu

Hata asipokuwa manji hata rweyemamu au masawe akiwa na ukwasi so ata wa bribe Hao watawala?
Hebu tuache kudiscuss watutusiscus issues
 
Kosa halifutiki kwa kubalika awamu za uongozi , lazima awajibike na muache watu wafanye kazi zao, kama vipi wenye kesi za mauji wakakimbia awamu iliyopita nao wajitokeze mafichoni kama makosa yao yaliondoka na awamu iliyopita wajivinjari mtaani
 
Back
Top Bottom