Manji akibembelezwa 'tutapigwa' tena

Manji akibembelezwa 'tutapigwa' tena

Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'..

Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na alishirikiana na 'viongozi' wetu maeneo mbalimbali.

Pori la Nafco pale Kigambon ni eneo moja ambalo alilipiga akiwa amejiandaa 'kuiuzia tena ' serikali'. Kampuni yake moja ilipewa tenda mbalimbali za upimaji wa ardhi na kuwaweka 'mfukoni' madiwani karibu wote hadi kufanya kampeni ya kumchagua Didas Masaburi enzi hizo ili mambo yake yaende.

Inawezekana kuna maeneo 'alionewa'lakini kama kuna watu wanataka abembelezwe na 'kurudishiwa 'kila kitu basi watakuwa tayari 'kuruhusu '.

Tupigwe tena with revenge ..na watu aina ya Manji.

Si ajabu akadai hadi fidia..

Lazima tubadilike tunalaumu wafanyabiashara watoa rushwa lakini Je hao wanaowasaidia serikalini na kupokea hizo rushwa wako wapi? Kama kuna sheria ni kwanini tuogope watu!!
 
Manji aliwapiga mpaka waislamu viwanda vyao,eti ye apewe katikati ya mji kiwanja afu atoe maekari na maekari nje ya mji Daah,anavyorudi mmmhh
Hutaki kufa tu maana huna faida
 
Who cares after all-Hata wewe kama umeona loop hole mahali kwenye sheria za nchi wekeza tu utupige no problem.Ni wajibu wa serikali kuziba loop holes katika sheria na siyo mwekezaji.

Sisi waafrica tupo maskini na tutaendelea kuwa maskin as long as tutaendelea kuamini kila tajiri,mwekezaji au mwenye mafanikio ni jambazi.
Upo sahihi
 
Amefariki Magufuli tu, ule mitandao wake wa wizi bado upo serikalini na ndani ya CCM, hivyo ni swala la muda tu mjiandae kisaikolojia.
Kama awamu ya tano imeongoza kwa ufisadi wakati Manj yupo nje .

Leo hii itashangaza nini akirudi kufanya biashara halali chini ya serikali ya mama Samia?
 
Kama Manji angekuwa Mpigaji basi Magufuli angepata sababu nzuri za kumfungulia mashitaka na kumfunga kwa hilo.

Ukiona hajafunguliwa mashitaka ya ufisadi ujue yuko safi au kuna loophole kaitumia kupiga hela na hiyo tujilaumu wenyewe
 
Kama Manji angekuwa Mpigaji basi Magufuli angepata sababu nzuri za kumfungulia mashitaka kwa hilo.

Ukiona hajafunguliwa mashitaka ya ufisadi ujue yuko safi au kuna loophole kaitumia kupiga hela na hiyo tujilaumu wenyewe
Umechangia point kubwa sana
 
Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'..

Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na alishirikiana na 'viongozi' wetu maeneo mbalimbali.

Pori la Nafco pale Kigambon ni eneo moja ambalo alilipiga akiwa amejiandaa 'kuiuzia tena ' serikali'. Kampuni yake moja ilipewa tenda mbalimbali za upimaji wa ardhi na kuwaweka 'mfukoni' madiwani karibu wote hadi kufanya kampeni ya kumchagua Didas Masaburi enzi hizo ili mambo yake yaende.

Inawezekana kuna maeneo 'alionewa'lakini kama kuna watu wanataka abembelezwe na 'kurudishiwa 'kila kitu basi watakuwa tayari 'kuruhusu '.

Tupigwe tena with revenge ..na watu aina ya Manji.

Si ajabu akadai hadi fidia..
Watasema wewe ni simba lakini kiukweli alikwiba sana!
 
Mkuu, Kwa nchi yangu hii, mwenye kuelewa ulichosema ni wachache mno, ni wale tu wanaotamani siku waione nchi hii ikiwa kwenye viwango Bora vya maendeleo kama zilivyo nchi nyingine huko.

Lakini Kwa wenginewengi, hawatataka kufahamu ni kivipi atatupiga na kivipi upigaji huo unaathiri vipi huduma za kijamii na Kwa vizazi vijavyo, watafurahia tu kupata vibarua ili mkono uingie kinywani. Na ndiyo wengi hao,

Ninamashaka na Elimu yetu hasa ya uraia kama imetusaidia kama taifa
Nakuunga mkono man
 
Manji ndiye mtanzania aliye nyanyaswa vibaya na kudhulumiwa na utawala wa awamu ya 5, na kibaya zaidi wale walio shiriki kumnyanyasa, kumdhulumu na kumiliki mali zake bado wapo hai, leo hii bashite anamiliki zaidi ya ekari 33 zilizo kuwa zinamilikiwa na manji kihalali , zaidi ya bilion5 alizo porwa na bashite kwenye akaunti kama ‘arrears’ ya kodi....... sasa kuna ubaya gani akirudi na kushugulika na wabaya wake walio bakia??
 
Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'..

Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na alishirikiana na 'viongozi' wetu maeneo mbalimbali.

Pori la Nafco pale Kigambon ni eneo moja ambalo alilipiga akiwa amejiandaa 'kuiuzia tena ' serikali'. Kampuni yake moja ilipewa tenda mbalimbali za upimaji wa ardhi na kuwaweka 'mfukoni' madiwani karibu wote hadi kufanya kampeni ya kumchagua Didas Masaburi enzi hizo ili mambo yake yaende.

Inawezekana kuna maeneo 'alionewa'lakini kama kuna watu wanataka abembelezwe na 'kurudishiwa 'kila kitu basi watakuwa tayari 'kuruhusu '.

Tupigwe tena with revenge ..na watu aina ya Manji.

Si ajabu akadai hadi fidia..

Upigaji hauwezi kuisha hata siku moja,watu wanaendelea kupiga tu na manji hayupo....Hauwezi kula bila kuliwa haiwezekani.
 
Back
Top Bottom