Manji akibembelezwa 'tutapigwa' tena

Manji akibembelezwa 'tutapigwa' tena

Kuna maeneo namkubali Manji ..
Lakini kuhonga madiwani ili auziwe open spaces na mapori kama ya Nafco hilo nalipinga
Katika scenario hii, hivi tatizo ni la Manji au hao madiwani waliokubali kuhongwa..??

Hii naweza kuilinganisha na mume au mke anayezini halafu anapoanza kupokea mapigo ya madhara ya dhambi yake ya uzinifu, anaanza kumlaumu shetani...!

The Boss, tunahitaji viongozi wenye maadili na wanaotanguliza maslahi ya umma badala ya matumbo yao kwa tamaa ya fedha...

Mfanyabiashara Manji hana tatizo. Yeye ni mfanyabiashara anayetafuta fursa yoyote ili aweze ku - maximize faida ya ktk biashara zake...

Tatizo ni la viongozi wetu wanaokubali kuwauza wananchi wao kwa vipande vya fedha...period!!
 
Ongea Kwa ushahidi weka hapa nilipinga kipi na wapi na lin?
Kauli yangu ni mtazamo kuhusu mtizamo wa jumla wa waTz. Hawakupenda alivyotiwa adabu na Magu na bado pia wana mashaka na ujio wake wa pili sababu ya wingu linalozunguka jina lake kuhusiana na tuhuma kadha wa kadha. Kumbuka marehemu Mengi alivyojitoa muhanga kuweka wazi uchafu wa jamaa kwenye dili za mfuko wa hifadhi. Nadhani nchi hii ni ya kuitazama tu sababu mtu kama Magu alijitoa kudhibiti hili ila mwisho wa siku watu walimuona kuwa ni rais mkandamizaji (hili hata wewe umo nimesoma maandiko yako). Sasa tukae mkao wa kusikilizia mara paap kadai Coco Beach yake na kadhalika na kadhalika.
 
Amefariki Magufuli tu, ule mitandao wake wa wizi bado upo serikalini na ndani ya CCM, hivyo ni swala la muda tu mjiandae kisaikolojia.
Ndo maana magufuli alikuwa kiongozi wa hovyo Sana. Badala ya kujenga mifumo yeye alikuwa anaendekeza one man show utafirikiri ameagana na Mungu
 
Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'..

Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na alishirikiana na 'viongozi' wetu maeneo mbalimbali.

Pori la Nafco pale Kigambon ni eneo moja ambalo alilipiga akiwa amejiandaa 'kuiuzia tena ' serikali'. Kampuni yake moja ilipewa tenda mbalimbali za upimaji wa ardhi na kuwaweka 'mfukoni' madiwani karibu wote hadi kufanya kampeni ya kumchagua Didas Masaburi enzi hizo ili mambo yake yaende.

Inawezekana kuna maeneo 'alionewa'lakini kama kuna watu wanataka abembelezwe na 'kurudishiwa 'kila kitu basi watakuwa tayari 'kuruhusu '.

Tupigwe tena with revenge ..na watu aina ya Manji.

Si ajabu akadai hadi fidia..
Subiri ya sethi na Rugemalira wake atakavyotukamua
 
Manji ni mpigaji sana siyo kidogo. Huyu amewaliza sana wazee wetu na matreka yake mabovu aliyoyauza kwa bei kubwa sana. Huyu ameshirikiana na wezi wengi sana wa awamu ile. Na hicho kiwanja cha kigamboni alitaka kukiuza kwa bei kubwa serikalini. Kama alivyofanya lile jengo lake pale nyerere road ambalo alinunua kwa bei cheee akaja wauzia shirika la hifadhi ya jamii kwa bei juu na yeye kukaa pale bure.... Huyu ni jambazi na wanamrudisha wenzie waendelee kupiga naye.
 
Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'..

Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na alishirikiana na 'viongozi' wetu maeneo mbalimbali.

Pori la Nafco pale Kigambon ni eneo moja ambalo alilipiga akiwa amejiandaa 'kuiuzia tena ' serikali'. Kampuni yake moja ilipewa tenda mbalimbali za upimaji wa ardhi na kuwaweka 'mfukoni' madiwani karibu wote hadi kufanya kampeni ya kumchagua Didas Masaburi enzi hizo ili mambo yake yaende.

Inawezekana kuna maeneo 'alionewa'lakini kama kuna watu wanataka abembelezwe na 'kurudishiwa 'kila kitu basi watakuwa tayari 'kuruhusu '.

Tupigwe tena with revenge ..na watu aina ya Manji.

Si ajabu akadai hadi fidia..
Yaani we jamaa ndio wale ukisikia jirani yako Kalala njaa unafurahia, usione furaha mwenzako anapoteseka au kuteswa sababu tu amekuzidi kipato, kuhusu kupiga sio sababu ya kumuwekea mizengwe,kila mtu hapa nchni ni mpigaji kwa namna yake, tumetofautiana viwango tu vya upigaji.
 
Tatizo letu si akina Manji, hao ni matokeo tu, tatizo letu ni CCM, period. Mali karibu zote za chama hiki tawala ziliporwa kutoka mikononi mwa wananchi wa taifa hili. Hakuna mtu anaweza akapora mali za wananchi bila mkono wa serikali ya CCM. Awe Manji au mabeberu kama tunavyodanganywa, hakuna hujuma inatendeka bila baraka za chama tawala.

Adui nambari wani wa taifa hili la wadanganyika ni CCM na matatizo yote katika taifa hili yamesababishwa na CCM na tusitafute lawama kutoka kwa yeyote ana chombo chcochote nje ya CCM. Ndio maana CCM itang'ang'ania madaraka kwa kutumia njia zozote hata ikibidi usalama wa Watanzania kuwekwa mikononi mwa vichaa kama Ndugai na mwendazake.
 
Tafuta kwanza historia ya eneo la NAFCO Kigamboni na jinsi alivyolipata ndipo uongee. Manji hakutendewa haki. Alistahili kulipwa fidia ya haki na siyo kumnyang'anya. Sitetei mambo mengine ya hovyo ya Manji kama kweli yapo.
 
Subiri ya sethi na Rugemalira wake atakavyotukamua
Sethi na Rugemalira ni siasa tu za kafara na uonevu.

Huwezi kumkamata Rugemarila kwasababu tu yeye pesa zake aliamua kuwagawia watu wake hadharani kupitia Mkombozi Bank halafu wengine wote waliogawana pesa kupitia Stanbic Bank mpaka leo imebaki kuwa SIRI kubwa.
 
Unajua manji alikua ameajiri watu wangapi kabla ya kufurushwa??
Acha chuki za kifala kama ulikua ushajimilikisha baadhi ya assets zake jiandae kuzitapika.

All in all manji ni mtanzania
Ajira za elfu3 per day siyo?
Nchi hii wajinga na mandezi hamtoisha kamwe
 
Sethi na Rugemalira ni siasa tu za kafara na uonevu.

Huwezi kumkamata Rugemarila kwasababu tu yeye pesa zake aliamua kuwagawia watu wake hadharani kupitia Mkombozi Bank halafu wengine wote waliogawana pesa kupitia Stanbic Bank mpaka leo imebaki kuwa SIRI kubwa.
Hahhaahaaa,hii nchi aisee daaah kwa hyo nao wameonewa!!

Daaah Escrow kumbe ilikua sawa!!!hahahaaa
 
Ngoja anunue korosho kwanza hela zijae mitaani, mengine yanazungumzika
 
Escrow wapigaji wako uraiani wanadunda.
Wazee wa escrow kuna jambo walimgomea nyapara thus akawasweka ndani.Alipoitisha hati ya msamaha yaani unatoa pesa kununua UHURU wako,wazee wakakomaa,heri kusimama kwenye haki kuliko kumsujudia shetani
 
Manji alikula hata na CCM, alikuwa mfadhili mkuu, kwa wanaokumbuka alinunua jengo la NSSF na kulikarabati kisha kuliuza tena kwa bilions kwa hao waliomuuzia.
Ukweli Ni kwamba katika dili zake zote alishirikiana na wakubwa na sheria zikimlinda.
Ccm bila dili haiwezekaniki
 
Niseme Kwa ufupi sijui in details hasa yanayosemwa yalikuwa 'maovu ' ya Manji na sijui in details ni kiasi gani 'alionewa'..

Lakini kuna vitu najua kabisa Manji alishiriki 'kupiga ' nchi na alishirikiana na 'viongozi' wetu maeneo mbalimbali.

Pori la Nafco pale Kigambon ni eneo moja ambalo alilipiga akiwa amejiandaa 'kuiuzia tena ' serikali'. Kampuni yake moja ilipewa tenda mbalimbali za upimaji wa ardhi na kuwaweka 'mfukoni' madiwani karibu wote hadi kufanya kampeni ya kumchagua Didas Masaburi enzi hizo ili mambo yake yaende.

Inawezekana kuna maeneo 'alionewa'lakini kama kuna watu wanataka abembelezwe na 'kurudishiwa 'kila kitu basi watakuwa tayari 'kuruhusu '.

Tupigwe tena with revenge ..na watu aina ya Manji.

Si ajabu akadai hadi fidia..
Sijakuelewa
 
Alishirikiana nao au alitumiwa na hao viongozi? Hao viongozi wanajua vizuri ni jinsi gani Waswahili walivyo na chuki na WaAsia kwa hiyo siku huo "uovu" ukionekana, hasira na lawama nyingi atatupiwa muAsia na siyo viongozi. Na kama ukiona anapiga tena basi ujue hao viongozi wamemrudisha kwenye kazi yake zamani.
 
Back
Top Bottom