Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa ๐Ÿšฎ

Mji wenye kivitio cha utalii haupaswi kuendelea. Otherwise wageni hawatakuja maana vipo tayari vitu ambavyo hata kwao vipo
 
Kuna mdau nilibadilishana naye mawazo safari hivi majuzi,tukajikuta tumezungumzia awamu ya hayati mzee Mkapa.
Binafsi ubinafsishaji uliipoteza sana nchi kimaendeleo ila yule bwana akadai hata kwenye kitabu cha mzee alisema amejutia ubinafsishaji na kulaumu wasaidizi waliokuja na wazo lile.
Kama kaandika haya basi kongole kwake huko alipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ