at my age, this is new.
Pole kwa maswahibu.
Hapo ni hospitali tu, tena kwa wale wa mambo ya vizazi.
Uzazi wa wanaume wanashughulikia urologists i mean wa njia ya mkojo. Gynae ni nanihii tuuuu, usimuharibie MziziMkavu pozi buree.
ugonjwa unaitwaje??dada faster tena faster wahine medikali huo ndo ugönjwa ulimwondoa bro
unachonganisha mkuu ....ooh!ndoa hiimgonjwa huyo usikubali akumalizie ndani hadi apone... shauri ya vicheche na nyumba ndogo
sperm disoder syndromeugonjwa unaitwaje??
habar zenu nauliza nini husababisha shahawa kuwa nyekundu au nyeusi maaana mme wangu anatatizo hilo sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida, msaada plse
Dokta akihitaji sample itakuwaje?
Manii nyeusi sijawahi sikia, lakini inawezekana ana bleeding ya ndani kwa ndani. Kamata mkono, peleka kwa urologist na hakikisha hubandui kalio hapo
(food for thought. Kama katembea na mke wa mtu wamemloga aisee.lol)