cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,212
- 202,614
HatumtakiiiiiiHuna gates za kumkataa Mangungu!!, yupo kisheria ataondila kisheria na awam anakuja na DUBE kwenye uchaguzi sasa.
HatumtakiiiiiiHuna gates za kumkataa Mangungu!!, yupo kisheria ataondila kisheria na awam anakuja na DUBE kwenye uchaguzi sasa.
Vyovyote vile, Mangungu kila mdau wa Simba hamtakii. Analazimisha nini aondoke.Uwezo wako wa hoja ni mdogo sana hapa ni facts sio ngonjera mzee yupo sahihi muongozo hauja fatwa sasa kakosea nini ?