Mwenyekiti wenu wa Msimbazi anazidi kiyamwaga,anakwambia hajui Mo alimpa nani hela.
View: https://www.instagram.com/reel/DfH88UCodmy/?srtk=MXUzZHc5djNqdWh1bw==
Wazee Biiiiiiiiiiii......20 ila Mo anadai anawadai Biiiiiiiii.....80.Sasa sijui nani mkweli.
Yanga tunajitafuta baadae msije mkamlamu GSM kama ananunua mechi.
Humtaki wewe na nani,una kadi ya Uanachama au ndio Ukereketwa unakukereketa?HATUMTAKIII, huo utaratibu akawaambie mkewe na watoto wake.
Sio Simba sports Club.
Mitano tena kwa Ngungus Boy aka X factor wa Makolo bin Umbumbuni.Nyie endeleeni na mahangaiko yenu huko utopoloni.
Mangungu pambania timu baba tunakuaminia! Ukizembea timu inaenda na Mwamedi!
Nyie ndio mnahangaika Ngunguz anayamwaga katrend vipindi vyote vya michezo.Nyie endeleeni na mahangaiko yenu huko utopoloni.
Kila jambo linalohusu taasisi haliendeshwi kama gege la wahuni!!, simba ni taasisi inayongozwa na miiko na kanuni zake ikiwa KATIBA YA SIMBA NDIO SHERIA MAMA!. Uchaguzi hufanyika kwa taratibu na sio watu kutaka kupita na kaupepo ka ushindinwa mechi hizi kutaka kupindisha taratibu. Sasa serikali kupitia Baraza la michezo waamewaambia huo uchaguzi haujulikani sijui wataiibishia hadi serikali... Mafanikio ya timu uwanjani hayawezi kuwa kivuli cha kutofuata taratibu za taasisi.Afrika mmelogwa nyie?. Yaani ukiwa kwenye siasa unataka ccm wafuata utaratibu wa kidemokrasia wa chaguzi ila ukiwa kwenye mpira katika engo hiyo hiyo unataka wapindishe taratbu za uchaguzi kisa ushindi?. 😅😅🙌🙌Buree kabisa..Hoja zipi? Huyu akionaga tu Simba imetulia na inafanya vizuri, haridhiki lazima atafute vijisababu kutokee mgogoro, na simba ipoteane.
Kumpoka madaraka vipi? Hatumtaki sasa, kwani lazima? Akiona watu wanafanya bila yeye haitajiki, si aachie ngazi tu.
Mpuuzi wewe na huyo Ngungusi mwenzio.
Mbona hasemi kama hela anazotoa Mo kuhudumia timu na usajili nazo ni batili ?Hili Lizee ni kirusi kikuu ndani ya club ya Simba, sijui kwanini bado yuko uongozini hadi muda huu.
Wakati huu tunajipanga kuelekea match za makundi ya CL, badala tuungane na tuwe letu 1, tunaanza tena kutafuta Migogoro isiyo na tija wala msingi wowote kwa sasa.
Huyu Mpumbavu hatakiwi kuchekewa kabisa, sahivi anatakiwa aoneshwe kuwa club ni ya watu sio yeye, si akaongoze familia yake huko kwani lazima simba tu.
Mataqo yake hili lizee, linaudhi na kukera, qumamaqe zake.
Km Senge vile. Khaaah
Sasa hapa Mo ameingiaje? Umesoma vizuri andiko langu?Mbona hasemi kama hela anazotoa Mo kuhudumia timu na usajili nazo ni batili ?
Kwani hata sasa CCM hiyo inatumia Demokrasia? Au iliwahi kutumia?Kila jambo linalohusu taasisi haliendeshwi kama gege la wahuni!!, simba ni taasisi inayongozwa na miiko na kanuni zake ikiwa KATIBA YA SIMBA NDIO SHERIA MAMA!. Uchaguzi hufanyika kwa taratibu na sio watu kutaka kupita na kaupepo ka ushindinwa mechi hizi kutaka kupindisha taratibu. Sasa serikali kupitia Baraza la michezo waamewaambia huo uchaguzi haujulikani sijui wataiibishia hadi serikali... Mafanikio ya timu uwanjani hayawezi kuwa kivuli cha kutofuata taratibu za taasisi.Afrika mmelogwa nyie?. Yaani ukiwa kwenye siasa unataka ccm wafuata utaratibu wa kidemokrasia wa chaguzi ila ukiwa kwenye mpira katika engo hiyo hiyo unataka wapindishe taratbu za uchaguzi kisa ushindi?. 😅😅🙌🙌Buree kabisa..
Mangungu anakera sanaSasa hapa Mo ameingiaje? Umesoma vizuri andiko langu?
Huna gates za kumkataa Mangungu!!, yupo kisheria ataondila kisheria na awam anakuja na DUBE kwenye uchaguzi sasa.Kwani hata sasa CCM hiyo inatumia Demokrasia? Au iliwahi kutumia?
Mangungu hatumtakiiiii.
Kuna pattern huws na observe hapa, kila club ikianza kufanya vizuri mangungu and co wanaibua migogoroMwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amesema mchakato wa uchaguzi, Tume ya Uchaguzi pamoja na Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliotangazwa kufanyika Januari 3, 2027, ni batili na haramu.
Mangungu ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 29, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, akieleza kuwa amepokea barua kutoka Serikalini yenye mwongozo kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa kuhusiana na mchakato huo.
Kwa mujibu wa Mangungu, taratibu zinazohusu uchaguzi na Mkutano Mkuu wa Simba zinapaswa kufuata mwongozo uliotolewa na Serikali.
Uwezo wako wa hoja ni mdogo sana hapa ni facts sio ngonjera mzee yupo sahihi muongozo hauja fatwa sasa kakosea nini ?Hili Lizee ni kirusi kikuu ndani ya club ya Simba, sijui kwanini bado yuko uongozini hadi muda huu.
Wakati huu tunajipanga kuelekea match za makundi ya CL, badala tuungane na tuwe letu 1, tunaanza tena kutafuta Migogoro isiyo na tija wala msingi wowote kwa sasa.
Huyu Mpumbavu hatakiwi kuchekewa kabisa, sahivi anatakiwa aoneshwe kuwa club ni ya watu sio yeye, si akaongoze familia yake huko kwani lazima simba tu.
Mataqo yake hili lizee, linaudhi na kukera, qumamaqe zake.
Km Senge vile. Khaaah
Naenda ndiyoKagombee uenyekiti nafasi zimetoka
Hatumtaki Mangungu.Mashabiki wenye mapenzi mema na mchezo wa soka tunasimama na Mangungu. Sheria na kanuni zifuatwe
Mangungu ni Mamluki ndani ya club ya Simba, anafahamika wazi kabisa.Kuna pattern huws na observe hapa, kila club ikianza kufanya vizuri mangungu and co wanaibua migogoro
Nina kadi ya ndiyo na ninalipia kila wakati. Kwa kifupi mie ni mwanachama hai.Humtaki wewe na nani,una kadi ya Uanachama au ndio Ukereketwa unakukereketa?