Hivi kumbe Chui na Paka ni maadui? Do you mean Paka na Panya?
Try to read between the Lines ndio utanielewa.
Nani alikwambia Kinana na Lowassa ni maadui?
Inawezekanaje Mtu awe adui yako kisiasa lakini wakati huo huo apambane na maadui zako wa kisiasa lakini pia ashirikiane na marafiki zako wa kisiasa?
Jaribu kumuuliza Kibanda kuhusu Kinana ni kambi ipi?
Mwaka 2005 wakati Salim Ahmed Salim akichafuliwa na kuvuliwa nguo hadharani na kambi ya wanamtandao, Kinana alikuwa wapi mpaka ashindwe kumtetea?
Sote tusubiri tuone.
ndio maana nikakwambia humfahamu kinana,kamuulize huyo huyo kibanda wako ambae ni mpambe wa lowassa kwanini alipoteuliwa kinana kushika wadhifa alionao aliweweseka sana na kuandika makala ndefu ya jinsi anavyomuogopa kinana?
kwa taarifa yako kinana ndio alikua mstari wa mbele even kwenye kamati kuu kupingana na genge la lowassa na rostam walipoandaa mbinu chafu za kumg'oa spika sitta enzi zile,na kila mtu anafahamu uadui wa sitta na lowassa sasa iweje kinana amtetee kwa nguvu nyingi sana adui wa lowassa?hayoi nimekukumbusha tu cuz ni mambo ambayo yalikua wazi kuna mengine unaweza kumuuliza mtu kama kubenea ambae mimi ninaendika hapa muda huu pamoja nae namuandishi mungine wa habari siwezi kumtaja tulikua na huyo kinana wako kwenye mgahawa wa best bite pale namanga kipindi cha kampeni za urais ambazo kinana alikua anazimanage,we ask him why u guyz mnasema hamko na mafisadi ilhali tunawaona mkienda kwenye majimbo yao na kuwainua mikono?alichotujibu kinana ni kwamba yeye kama yeye msimamo wake uko wazi dhidi ya mafisadi lowassa na rostam hata wajumbe wa cc wanajua kwamba hawakubali na wala hawaogopi kwa kuwa he got nothing to lose cuz hategemei kuchaguliwa kuwa waziri wala cheo chochote hivyo hana sababu za kuwalamba miguu,akasema wazi hata yeye amekua akimwambia jakaya kuhusu kwenda kwenye majimbo ya mafisadi kuwanua mikono its not gonna help sanasana inawaharibia na kuwaweka kwenye wakati mgumu mbele ya wananchi ambao wanawachukia mafisadi,akatuambia tatizo jk ni mbishi aking'ang'ania jambo humbadilishi,he said they even gave him alternative kama ni lazima kwenda huko basi bora aende mgombea mwenza mzee bilal,haya ninayokwambia ni mambo ambayo yalikua binafsi but kwa kuwa muda umepita sana na kwa kuwa kuna upotoshaji mkubwa sana tena wa makusudi juu uhusiano wa lowassa na kinana niko tayari kukupa wewe na yeyote namba ya kinana umpigie hata sasa hivi then umuulize kuhusu mahusiano yake yeye na lowassa na lini mara ya mwisho walionana na kuongea zaidi ya kusalimiana?unadhani wanaomchafua na kumsakama kinana kwa kashfa mbalimbali even za zamani ni kina nani??unadhani ni chadema?ir very wrong brother/sister.
call kinana now,the number is 0787 ....kuteuliwa kinana was a bad news kwa kina bashe,serukamba na wapambe wote wa lowassa akiwemo mzee mwenyewe,katibu wa aliepita na makamu mzee msekwa hawakuondolewa pale kama ajali tu ya kisiasa,amkeni usingizini
swali lako kuhusu mwaka 2005 alikua wapi kumtetea salim ni la kilevi!angewezaje kumtetea adui?kwani hujui kwamba kinana,membe,sitta,jk na wengine wengi wote walikua wanamtandao na tishio lao kuu alikua ni huyo salim?lakini ndio mchezo wa siasa ulivyo,mtandao si ndio uliomshughulikia mzee mangula akashindwa uchaguzi wa uenyekiti wa ccm iringa na mwanamtandao jah pipo!lakini leo member waasi wa mtandao kina jk na kinana si ndio wamemrejesha mangula kundini-hiyo ndio ngoma ya siasa na uchezaji wake,adui wa jana rafiki wa leo,rafiki wa jana adui mkubwa wa leo,rejea jk na lowassa!