stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Ritz anakula Deiwaka ya kuiongoza nchi wakati Vasco Da Gama anaimaliza Dunia,,japokuwa hajapewa mamlaka kamili.
Kumzuia Lowassa kwa sasa eti asiingie Magogoni ni ndoto za alinacha.
Tanzania ya sasa haiwezi kuongozwa kwa maagizo...tutapata matatizo,watanzania wa leo si wa jana,hawa wanajua sheria na haki zao kiujumla wanajitambua,kiongozi wa aina yalowassa hawezi tena!kwanini nasema hawezi:Kweli kabisaa,,,Lowassa fisadi lakini mchapakazi.
Kumzuia Lowassa kwa sasa eti asiingie Magogoni ni ndoto za alinacha.
Kuijadili CCM katika taasisi ya urais ni sawa na kujadili maiti kuchangia damu kwa mgonjwa anayehitaji msaada wa damu. Hii taasisi haina uwezo wa kutoa tena rais.
ACHA UJINGA NA USIUPOTOSHE UMMA yaani mtu asitende kazi zake tu, mnaanza kudai yuko kambi hii mara ile.
usimfanye Mang'ula hajui upuuzi wenu na kukiangusha CHAMA,
Kwa nini machochea makambi au mnalipwa?
Huyu Makamu mnajua ni nini kilimkera hadi kutoa Masharti ya kuukubali hicho Cheo
acha kushikiwa akili hapo Lumumba njoo Makao Makuu
- Kwa nini alimtaka Kinana arudi
- Kwa nini alitaka jamaa yako asiwepo katika CC
- Kwa nini alitaka CC iwe na vijana zaidi? na isiwe kambi yako?
Uko right kabisa. Membe na Sita nachelea kusema lolote kini kwa mzee EL kuna positive determinations as he is a hardworker na ana maamuzi, uwajibikaji na kuwajibisha wasiodeliver kwa wakati. Achilia mbali vikashfa may be vya kutengenezwa kusema ukweli Lowassa ni Jembe. Hakalii taarifa mpaka amepata suluhu yake. Najua kuna chuki nyingi za kihisoria na nyinginezo, ila Lowasa ni mtendaji mzuri sana. Mfano jana umesikia riport ilosomwa bungeni kuwa matokeo ya kidato cha nne yalianza kushuka kwa kasi mwama 2008 pindi anajiuzulu lowassa kaingia Dhaifu namba mbili aliyepinda mambo yakawa worse mpaka mwaka jana wanafeli more than 60%,sasa wanakimbilia standadization na kulaumu baraza la mitihani kili uhalisia watoto walifeli na kuna uzembe mkubwa serikalini. Kustadadize is not an issue bali suluhisho la kudumu kwa kuwa na uwajibikaji wa waliochangia hali zote na serikali uchukue jukumu la kurekebisha mambo. Lowasa ana mengi ya kusemewa kwa utendaji wake mzuri, kumbuka mkakati wa kuondoa foleni Dar, maji ya lake victoria kuja shinyanga achilia mbali msuguano na serikali ya Egypt, kuvunja mkataba wa ilokuwa Dawasa na kesi ikapelekwa Marekani ambapo Tanzania ilishinda. Nadhani sina historia nzuri ya membe au sita zaidi ya bungeni tu kwa chuki binafsi.Lowassa is a man of opportunity, na akiwa na uwezo nayo ataifanyia kazi. Richmond kamuulize baba Ritz kwa kuwa ndo aliipigia kampuni chapuokama siyo dr. wetu
heri lowassa kuliko membe mara alufu.
mzungu gani? Mbona unaropoka stori za kijiwe cha gongo. Mtaje jina na lete ushahidi wa mazingira ili tuamini. Ikiwezekana lete ushahidi wa picha wakati akipewa ili ufute utata
mzungu gani? Mbona unaropoka stori za kijiwe cha gongo. Mtaje jina na lete ushahidi wa mazingira ili tuamini. Ikiwezekana lete ushahidi wa picha wakati akipewa ili ufute utata
tupe chanzo cha taarifa yako ili tuweze kujaji.
[FONT=times new
roman]Kukiwa kunafikia miezi sita tangu kuchaguliwa kwa Mangulla
kuwa makamu mwenyekiti wa CCM tanzania bara, Simanzi kubwa imeingia kwa
kambi za Urais za Sitta na Membe baada ya Kuvuja kwa habari za kiongozi
huyo (Philips Mangula) kuhamia rasmi kambi ya Urais ya Lowassa.
Huku kukiwa kumebakia wiki mbili tu ili kuisha kwa muda alioutoa Mangula
kwa kujiapiza kuwa ni lazima atafukuza ndani ya miezi sita
makada(Mafisadi) wote ndani ya CCM waliopita kwa rushwa kupata nafasi za
uongozi ndani ya CCM, mpaka sasa hakuna hata kada mmoja aliyefukuzwa
kwa kosa la Rushwa.
Tetesi hizo zilianza baada ya kuwepo habari za Mangula kuonekana katika
vikao vya siri vya kambi ya Lowassa lakini pia mwenendo wake usieleweka
hususani wa kukataa au kuchelewa kuchunguza au kuwaita kuwahoji
watuhumiwa wa Ufisadi ndani ya CCM ambao tuhuma zao ziko mezani kwake.
Msumari wa moto kabisa alioupigilia Mangula ni kitendo chake cha kupinga
kitendo cha baadhi ya viongozi wa juu wa CCM makao makuu kuwahoji
viongozi waandamizi wa UVCCM kwa madai ya rushwa wakati wa Uchaguzi wa
ndani wa jumuiya hiyo mwaka jana.
Mpango wa kuwahoji ulishinikizwa na kuratibiwa na Ridhwani Kikwete kwa
nia ya kutaka kuibeba kambi ya urais ya Membe.
Inasemekana Mangulla alihoji kwa ukali kwanini hakujulishwa na pia
kwanini watu hao waitwe kuhojiwa wakati yeye akiwa hayupo kikazi
ofisini(Mangula alikuwa kwenye Fungate la ndoa). Tetesi zinasema mafaili
yote ya mahojiano hayo kayafungia kabatini na punde huenda yatatupwa.
Habari hizi zimeonekana ni neema na ushindi kwa kambi ya urais ya
Lowassa, kwani kwa sasa kambi hiyo ina karata kubwa karibu zote za
ushindi, ikiwemo Makamu wenyeviti wote wa CCM taifa(Bara na visiwani),
Katibu mkuu wa CCM, Wenyeviti wote wa jumuiya za CCM(wazazi, vijana na
wanawake), Zaidi ya 70% ya wajumbe wa NEC, Zaidi ya asilimia 65% ya
wenyeviti wa CCM wa mikoa, zaidi ya asilimia 60% ya wabunge wote wa
CCM(Akiwemo Spika na manaibu wake wote).
[/FONT]
Watu wanamsahau huyu jamaa Wasira lakini amini huyu atakuwa Mgombea kupitia CCM.
Kura zake huwa hazihesabiki, ziko kama mvua!!!
Yap .. Tyson hajafikisha miaka 80 kweli?
kukiwa kunafikia miezi sita tangu kuchaguliwa kwa mangulla kuwa makamu mwenyekiti wa ccm tanzania bara, simanzi kubwa imeingia kwa kambi za urais za sitta na membe baada ya kuvuja kwa habari za kiongozi huyo (philips mangula) kuhamia rasmi kambi ya urais ya lowassa.
Huku kukiwa kumebakia wiki mbili tu ili kuisha kwa muda alioutoa mangula kwa kujiapiza kuwa ni lazima atafukuza ndani ya miezi sita makada(mafisadi) wote ndani ya ccm waliopita kwa rushwa kupata nafasi za uongozi ndani ya ccm, mpaka sasa hakuna hata kada mmoja aliyefukuzwa kwa kosa la rushwa.
Tetesi hizo zilianza baada ya kuwepo habari za mangula kuonekana katika vikao vya siri vya kambi ya lowassa lakini pia mwenendo wake usieleweka hususani wa kukataa au kuchelewa kuchunguza au kuwaita kuwahoji watuhumiwa wa ufisadi ndani ya ccm ambao tuhuma zao ziko mezani kwake.
Msumari wa moto kabisa alioupigilia mangula ni kitendo chake cha kupinga kitendo cha baadhi ya viongozi wa juu wa ccm makao makuu kuwahoji viongozi waandamizi wa uvccm kwa madai ya rushwa wakati wa uchaguzi wa ndani wa jumuiya hiyo mwaka jana.
Mpango wa kuwahoji ulishinikizwa na kuratibiwa na ridhwani kikwete kwa nia ya kutaka kuibeba kambi ya urais ya membe.
Inasemekana mangulla alihoji kwa ukali kwanini hakujulishwa na pia kwanini watu hao waitwe kuhojiwa wakati yeye akiwa hayupo kikazi ofisini(mangula alikuwa kwenye fungate la ndoa). Tetesi zinasema mafaili yote ya mahojiano hayo kayafungia kabatini na punde huenda yatatupwa.
Habari hizi zimeonekana ni neema na ushindi kwa kambi ya urais ya lowassa, kwani kwa sasa kambi hiyo ina karata kubwa karibu zote za ushindi, ikiwemo makamu wenyeviti wote wa ccm taifa(bara na visiwani), katibu mkuu wa ccm, wenyeviti wote wa jumuiya za ccm(wazazi, vijana na wanawake), zaidi ya 70% ya wajumbe wa nec, zaidi ya asilimia 65% ya wenyeviti wa ccm wa mikoa, zaidi ya asilimia 60% ya wabunge wote wa ccm(akiwemo spika na manaibu wake wote).