Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

Kama ni kuumwa kila mtu ni mgonjwa na marehemu mtarajiwa,no one knows his/ her future,wote tunaishi kwa Neema tu na Mungu ni wa wote....asijifanye ana final say over Tanzanians,tutakamilisha maamuzi yetu 25October

Huyo ni kichaa mbna yeye mgonjwa kifua kikubwa n domo kubwa mwili kisoda huo ni ugonjwa.....kumsema edo hakumsaidii ccm kumpa chochote kajichokea huyo maisha y kuuza mitumba ni magumu
 

Huyu mange ni taahira tumpe mda 2 ataanza kuokota makopo.....kaka yke ni mnene kma pipa huo c ugonjwa yeye kifua n mdomo vikubwa kuliko mwili sasa huo nao c ugonjwa
 
Huyu mange ni taahira tumpe mda 2 ataanza kuokota makopo.....kaka yke ni mnene kma pipa huo c ugonjwa yeye kifua n mdomo vikubwa kuliko mwili sasa huo nao c ugonjwa

hahahaaa daaah kweli nimeamini mange ni mgonjwa,maana vitu anavyofanya si vya kibinadamu
 

Hapo ndio ulipochanganya...mara ya kwanza I thought ulikuwa independent kama mie..Ok swali moja hilo genge lake wengi wako wapi? Si hata mkulu wetu nae alikuwa kwenye genge lake? Lowasa fisadi ndio lakini na waliobaki CCM nao mafisadi vile vile so wakati mwingine "economy of scale" inatumika..
 
kule instagram kuna mtu anaitwa kichwapanzi, anamshushuaje mange sasa!
Halafu anaweka mpaka na evidence.......mwaka huu tutaona hata tusiyoyatarajia!!
 

wafaidika na mfumo hawa! hukumu yao october wataisoma namba!!! hawana sababu yoyote ya kusupport ccm hawana hoja wamejaa matusi tu kutukana ukawa a bit piece of advice ungeanza labda kuelezea ccm imefanya nn miaka 50 ya uhru? alafu kuniambia lowassa fisadi how does that change my life from being poor yesterday to be good today so that i can vote for ccm? i vote ccm out not because lowassa is not fisadi or whatever its because ccm hasnt done anything for the past 54yrs or so they have been in power hence any change will do since it cant get any worse than this!!!

na ukitaka kujua kwamba wanaelekea kushindwa matusi sasa ivi yamekua makali zaid...... kwamba dawa inawaingia..... last kick of the dying horse.
 
wameshindwa kina lipumba na slaa itakua machangudoa hawa!!!! just to show how low ccm is from slaa and lipumba to the likes of ant ezekiel, ray, mange cjui kala maharage ya wapi huyu!!!!
 

Pathetic! You've invested your deep emotions in the losing battle! I won't answer your questions on ''CCM hasn't done anything so far'', coz you sound more of a fanatic than logical.. Despite the fact that I do not cherish CCM, but it's being too blind not to see what CCM has done for this country over this whole period of time!

For your information, CCM will beat u up this time for just your wrong pick of the dice...

Save this comment dear!
 

At least you've tried to grasp my points. Edo and whoever the co's can never take this country by their wishing! They have to know it belongs to more than just him and his fellow accomplices. They created camps so that they can prolong their interests over decades.. Bravo JK for tearing this bullshit up (though u took part in the beginning of all this ----). What you have done for this nation, you have saved many.

Time shall advocate for itself!
 
Siasaaaaaaa......mwaka huu tutajionea mengi......!!!!! Ila lowasa anawaumiza ccm mno......nahisi awapati isingizi tangia kampeni zianze......... na pesa walizotumia ni nyingi mno bila upepo kubadilika wapendavyo.... sasa wamechanganyikiwa. ......na muda unayoyoma
 
Huyu mdada kaumbuliwa insta na uongo wa picha alipohamia LA alisema kwake kumbe ni eneo la reception ya apartments alificha kupiga kaunta ya mapokezi
 
Na kumbe kamfilisi mumewe aliyefanya afilisi wazazi wake hadi wakauza nyumba yao li mansion na kuhamia wanapopanga. Hadi picha za mwezi wa tatu za tangazo zimewekwa.
 
Mume wameachana pia kitambo, amekuwa nuksi kawafilisi kutaka maisha ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…