brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,876
- 7,366
- Thread starter
- #21
Umeelewa hoja kweli? Nachozungumzia hapa ni obsessed ambayo kimsingi ni ugonjwa kisaikolojiaMazee mbona unajigonga gonga? Sasa kama unajua kabisa hakuna mtu anayefanya kila kitu sahihi kwenye jamii kwanini unamlaumu Mange? Si na yeye anafuata hiyo hiyo principle yako?