Kwanini Mange Kimambi anawachukia Diamond Platnumz na Zarina Hassan?

Status
Not open for further replies.

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Habari zaenu

Kwa kipindi kirefu Mwanaharakati wa Mitandaoni na kada wa zamani wa CCM Mange kimambi amekuwa akimuandama sana Mwanamuziki Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Mama watoto wake Zarina Hassan

Mange kimambi amekuwa akimponda hata kumtukana kwenye mitandao Diamond, pia amekuwa anachukizwa na mafanikio ya Platnumz kila kukicha

Mange pia hakuishia tu kwa Diamond bali aliingia ndani zaidi hadi kufikia kuichokonoa familia ya Platnumz kwa kitendo cha kuanika mahusiano ya kimapenzi ya mama yake diamond Bi Sandra na mwanaume mmoja mkazi Wa dar es salaam

~Je mange ana chuki za mapenzi?

~Akishawahi kumtaka platnumz akakataliwa?

~Anaugomvi na Zari?
 
Mange ni moja kati ya wanawake hatari sana ktk dunia hii,amejawa na wivu,choyo,chuki,roho ya kwanini na visasi.

Kibaya zaidi kilichoongeza hayo niliyoyataja hapo juu ni frustration ya ndoa yake,pia kujiona hajafikia matarajio ya kimaisha aliyoyatarajia baada yakwenda USA
 
I like Mange,lakini kwenye ishu hii simuelewi kabisa-day and night ana plot kumshusha Diamond na Zari. Kitu kimoja anatakiwa aelewe Diamond ana fuata beauty with brains which unfortunately hao akina dada ambao mange anamsukumia no brains at all as such do not tick. Hawa mobeto type ni umiza kichwa and before you know it,they bring you tumbling down
 
Huyo Mange anazidiwa kila kitu na hao watu...kwa hiyo lazima awachukie....
Yani huyo mwanamke angepewa uzuri hata kidogo sijui.ingekuwaje? Hahahahaha
Sio Mange tuu wanawake wengi wanamchukia Zari...
 
Habari zaenu

Kwa kipindi kirefu Mwanaharakati wa Mitandaoni na kada wa zamani wa CCM Mange kimambi amekuwa akimuandama sana Mwanamuziki Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Mama watoto wake Zarina Hassan

Mange kimambi amekuwa akimponda hata kumtukana kwenye mitandao Diamond, pia amekuwa anachukizwa na mafanikio ya Platnumz kila kukicha

Mange pia hakuishia tu kwa Diamond bali aliingia ndani zaidi hadi kufikia kuichokonoa familia ya Platnumz kwa kitendo cha kuanika mahusiano ya kimapenzi ya mama yake diamond Bi Sandra na mwanaume mmoja mkazi Wa dar es salaam

~Je mange ana chuki za mapenzi?

~Akishawahi kumtaka platnumz akakataliwa?

~Anaugomvi na Zari?
ENVY IKIZIDI SANA HUZAA OBSESSION NAYO IKIENDELEA HULETA UANDAWAZIMU AMBAO UNAWEZA KUWA CHANYA AU HASI
 
Mwenzenu ana target ya 2020 kwenye kampeni. So anafanya kila awezalo kumshusha Diamond na kumpandisha Kiba ili aje kuvuta watu wengi kupigia Chadema. Nahisi Diamond lazima atachukuliwa na CCM tu

Mimi ninahisi ivyo na kama ni kweli ni vizuri ila nikiwa kama fan wa Diamond naumia so anatugawa mashabiki na wafuasi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom