Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

Mazee mbona unajigonga gonga? Sasa kama unajua kabisa hakuna mtu anayefanya kila kitu sahihi kwenye jamii kwanini unamlaumu Mange? Si na yeye anafuata hiyo hiyo principle yako?
Umeelewa hoja kweli? Nachozungumzia hapa ni obsessed ambayo kimsingi ni ugonjwa kisaikolojia
 
Tangu alivyotangaza kuacha siasa( baada ya kulamba bingo) wanaotembelea page yake ni kina James delicious tu.
 
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
okey poa.
 
Kwani hukumbuki Shehe wa Dar alivyosema baada ya huyo Mange kimavi kumtukana? Alisema atapata cha mtema kuni na sasa ameanza kukipata!
Kabisa yaani anafanya vitu vya ajabu ajabu
 
Umeelewa hoja kweli? Nachozungumzia hapa ni obsessed ambayo kimsingi ni ugonjwa kisaikolojia
Kuna kitu gani hapo mazee cha kushindwa kuelewa. Wewe hoja yako ni kuwa ''hakuna mtu anayefanya kila kitu sahihi kwenye jamii''. Huu ni utetezi wako kwa hao unaowatetea. Na mimi nikakuambia kama formula ndiyo hiyo, basi tuitumie kote kote.
 
Kwani hukumbuki Shehe wa Dar alivyosema baada ya huyo Mange kimavi kumtukana? Alisema atapata cha mtema kuni na sasa ameanza kukipata!
Huyo shekhe hana la kumfanya Mange kama yy ni mwema sana itakua ila kama na yy ndo tuhuma zile alizotuhumiwa zilikua zake basi mtasubiri sanaa. Mange yuko hivyo hivyo miaka nenda rudi nyie mloanza kumjua jana ndo mtamuona amewehuka.
 
Never underestimate the power of stupid people in large groups.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~George Carlin~~~~~~~~~~~~~

Tena hawa ndiyo wabaya sana kwasababu wanakuwa na mashabiki wengi wasiokuwa na kichwa wala miguu. Kule Uchina aliyemrudisha Mao Zedong madarakani mwaka 1966 kipindi cha The Curtural Revolution alikuwa ni mke wake Jiang Qing aliyekuwa mwigizaji wa filamu. Binafsi huwaga siwapuuzi watu wa hivi kwasababu they are reckless and volatile.
Umenena kweli
 
Baada ya kuona ameacha masiasa yenu ameacha kuwasemea ndo leo mnamuona wa ajaabu? Jamani binadamu bana wakati ule alikua ccm anamremba Jiwe wale wa upande ule walikua wanamfurahia wanalamba lamb wa upande huu wa pipoz mkawa mnamponda sana na kumuita mwehu.Alipohamia upande wa pili watu wa lumumba wakasema amenunuliwa huyo msimsikilize ni mwehu anatumiwa data n.k. Alipoamua kuwatosa wote leo wengine mnasema amelipwa. Mange ameamua kurudi kwenye mambo yake ya umbea ambao kwa wanaomjua ni hulka yake ila wengine ndo wanamuona kichaa. By the way ana mabaya yake vivyo hivyo na wewe na mimi. Sooo hakuna mtu mkamilifu chini ya jua. Kuna watu hawajitoi public kama yy ila ni malaya ,ni wezi wa waume za watu, wadangaji,wavaa uchi,watukanaji n.k
 
Huyo shekhe hana la kumfanya Mange kama yy ni mwema sana itakua ila kama na yy ndo tuhuma zile alizotuhumiwa zilikua zake basi mtasubiri sanaa. Mange yuko hivyo hivyo miaka nenda rudi nyie mloanza kumjua jana ndo mtamuona amewehuka.
Vp wkt wa maandamano yake uliandamana?
 
Umbea wa kutukana watoto wa wenzie aiseeee
Baada ya kuona ameacha masiasa yenu ameacha kuwasemea ndo leo mnamuona wa ajaabu? Jamani binadamu bana wakati ule alikua ccm anamremba Jiwe wale wa upande ule walikua wanamfurahia wanalamba lamb wa upande huu wa pipoz mkawa mnamponda sana na kumuita mwehu.Alipohamia upande wa pili watu wa lumumba wakasema amenunuliwa huyo msimsikilize ni mwehu anatumiwa data n.k. Alipoamua kuwatosa wote leo wengine mnasema amelipwa. Mange ameamua kurudi kwenye mambo yake ya umbea ambao kwa wanaomjua ni hulka yake ila wengine ndo wanamuona kichaa. By the way ana mabaya yake vivyo hivyo na wewe na mimi. Sooo hakuna mtu mkamilifu chini ya jua. Kuna watu hawajitoi public kama yy ila ni malaya ,ni wezi wa waume za watu, wadangaji,wavaa uchi,watukanaji n.k
 
Umbea wa kutukana watoto wa wenzie aiseeee
Alianza nani kwani? Hapo mimi pia sijapenda kabisa. Japo na wake walitukanwa. By the way ni ujinga wa hali ya juu kutukana watt wdg kama wale malaika
 
Huyu Dada sikuhuzi sijui amekuwaje dakika 2 anaitukuana familia ya msanii Diamond platnumz baada ya muda kidogo anasema anamtaka Diamond kimapenzi yaani anaonekana Yuko obsessed na Diamond
Either Diamond Amefanya Jambo zuri au baya yeye anatukana tu.
Kipindi anafanya harakati za siasa nilikuwa naona kama anajenga hoja Kama mtu mwenye utimamu lakini kwa sasa dishi channel zimekata
Ndugu hujui kama alihingwa na lungumyi aachane na rais saa anatafuta sehem nyingine ya kuanzia ili arudi kweny headnewz
 
Hata mm ningehongwa ningechukua kila mtu afake kivyake .Na kumponda kote kule prezdaa halafu waje tena badala ya kuniua wanihonge aisee ningechukua fasta na kunyamaza kimyaaaaaaaa
 
Alianza mange,wakati zari ana mimba ya tiffa,mange kumtukana vya kutosha,kajifungua tiffa mange kahamia kwa tiffa kamtukana mtoto na kumbambikizia mababa kibao,umesahau mkuu?mimba ya nillan aliiandama sana hadi kazaliwa bado anamtusi.

Wa kwake wanatukanwa sababu yeye anasimanga wa wenzie na kuwatafutia mababa kibao utadhan aliwashikia miguu wazazi wakati bao linaingia

Back
Top Bottom