balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,154
Mwenzio anakula life kwa papaa Trump mzee wa Trump Force Onebaba yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora