Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Labda katumiwa meseji kama aliyotumiwa Ben Saanane, inatisha sana hasa ukifikiria kwamba simu huwa zinasajiriwa lakini meseji ya kitisho unatumiwa na bado Polisi wanahangaika kumtafuta mtu aliyehusika na upotevu wa mwananchi!!Nimeshangaa katika pitapita zangu instagram kukuta Mange Kimambi kafuta post zake zote za kukashifu wengine, kampain choma kadi ya CCM etc. Nilichokikuta na posts za yeye na Familia yake tu.
Huyu dada inawezekana Malaika amemshukia au kunajambo nyuma ya pazia. Hii sio kawaida yake. Lazima kuna yaliyomkuta. Ila yatajulikana muda si mrefu.
Bac mmewake kampiga beatKasema amefuta kwaajili ya mahusiano yake na mpenzi wake....hamna kilichomkuta
Ndio. ......mpenzi wake hapendagi drama, ila ana ac nyingine ya mambo ya siasa ambayo huwa anaitumia ikitokea tatizoBac mmewake kampiga beat
Si raisi alizuia safari za nje? Mkuu wa mkoa afata nn xx uko MarylndKuna mkuu wa mkoa maarufu yupo huko Maryland tangu juzi, na hawa jamaa hawashindwi kufanya yao na ikabakia story tu kwenye hash tag.....bring back our.......na siku ya siku mmesahau.
Amefata post za mtu fulaniSi raisi alizuia safari za nje? Mkuu wa mkoa afata nn xx uko Marylnd
Kasema amefuta kwaajili ya mahusiano yake na mpenzi wake....hamna kilichomkuta