Mange Kimambi afuta post zote za 'kuiponda' serikali ya CCM

Nimeshangaa katika pitapita zangu instagram kukuta Mange Kimambi kafuta post zake zote za kukashifu wengine, kampain choma kadi ya CCM etc. Nilichokikuta na posts za yeye na Familia yake tu.

Huyu dada inawezekana Malaika amemshukia au kunajambo nyuma ya pazia. Hii sio kawaida yake. Lazima kuna yaliyomkuta. Ila yatajulikana muda si mrefu.
Kumbe mange ni mwiba, mbona mnadai mgonjwa
 
wewe mshenzi tu, kwani wale waliokamatwa malawi walikuwa wapelelezi kama kichwa chako kitupu kinavyoamini? umesikia alichokisema askofu wa catholic songea na yule wa malawi anayewapelekea chakula gerezani hadi hivi tunavyoongea? hivi watu kama wewe si ukute una wadhifa serikalini, ndo maana nchi yetu haiendelei kwasababu ya vibuyu kama wewe kwenye madaraka. looo.

Najaua unatafuta Kiki humu JF kujibizana na GENTAMYCINE ili na Wewe ID yako ikue na isifike na ndiyo maana kila unaponiaona MWANAMUME wako Mimi nipo lazima na Wewe unisogezee hicho kidude chako kwani yawezekana sasa upo katika heat na hasa ukizingatia kuwa huu ni mwisho wa mwezi.

Kwakuwa najua huna akili nakupa assignment moja ambayo ni nenda katafute Historia ya Ujasusi duniani ilianzia wapi kisha waulize Watu wanaokuzidi IQ kuwa hivi ni kwanini Roman Catholic wanasifika na wanaogopwa kwa kuwa Mafundi wa Ujasusi duniani na kwanini Mapadre, Maaskofu na Watawa wengi wa Kikatoliki ni Majasusi karibia katika Serikali na Taasisi nyingi kisha ukishamaliza kujua jiongeze katika tukio lililotokea.

Kila siku nitaendelea kusema kuwa nitakuwa nawadharau humu Watu fulani fulani kwakuwa najua wazi kuwa ni Wapumbavu Wabobezi na uwezo wenu wa IQ ni mdogo mno na ndiyo maana kutwa mnapata taabu na GENTAMYCINE ambaye Mwenyezi Mungu kambariki kuwa ' Talented and Charismatic '. Siku nyingine badala ya kunichukia ningeshauri tu muwe basi mnaokoteza okoteza madini yangu ili nanyi angalau IQ zenu ziwe zimetakata na mtishe.
 
Umemjibu Kistaarabu sana Kinyume na "matarajio" yangu.
 
dharau yako itakuwa na msingi gani? kuna watu wamekamatwa malawi, wewe na mashoga wenzio mnang'ang'ania ati wale walikuwa spies wa kitz, mkaanza kukashifu intelijensia ya Tanzania kwa kujifanya mnajua. kesho yake, taarifa toka malawi imetoka kwa askofu wa malawi anayewasiliana na askofu wa Songea, kwamba wale hawakuwa spies, walikuwa waumini wa kanisa catholic waliokuwa wanafanya tafiti, na eneo lile la kiwanda cha nukes lilishasimamisha uchimbaji, .......kwa comment zako zoote against TISS, mbona hauja denounce comment zako kuwa ulipotoshwa? bado umeng'ang'ana tu kama unatafuta bwana....unatafuta Bwana Jf? nenda kajiuze ohio na kinondoni huko. hauna akili tatizo na haujijui kuwa hauna akili na kwasababu umeshazeeka, ndio imetoka hiyo. puto tu.
 
Umemjibu Kistaarabu sana Kinyume na "matarajio" yangu.
huyo mwenzio unayesema amejibu vizuri, hana marinda. keshafumuliwa kitambo na anatafuta mabwana humu jf. kaa naye mbali asije kukufundisha sodoma na gomora.
 
Nimeshangaa katika pitapita zangu instagram kukuta Mange Kimambi kafuta post zake zote za kukashifu wengine, kampain choma kadi ya CCM etc. Nilichokikuta na posts za yeye na Familia yake tu.

Huyu dada inawezekana Malaika amemshukia au kunajambo nyuma ya pazia. Hii sio kawaida yake. Lazima kuna yaliyomkuta. Ila yatajulikana muda si mrefu.
Anatupia,baada ya muda anatoa.Anadai shemela hataki hizo mambo
 
Kuna mkuu wa mkoa maarufu yupo huko Maryland tangu juzi, na hawa jamaa hawashindwi kufanya yao na ikabakia story tu kwenye hash tag.....bring back our.......na siku ya siku mmesahau.
Siasa za Africa ni biashara. Mtu anakuponda mpaka ufike bei yake!
 
Mie lakini alivyomponda Makonda sikupenda,mtu huwezi kumshambulia mtu namna ile,jambo la uzazi ni sensitive issue.
Anachomshambulia Makonda ni kuadaha. Ndicho alichokuwa anashambuliwa Diamond alipoacha na Wema.
Kuna njia moja tu ya kuimaliza hiyo kashfa. Ninaamini mbeleni watu wataanza kuamisha goal post kwamba mbona mtoto anafanana na fulani!
 
Frank, I never bring family shit online. Thats where I draw the line but because you decided to bring it here, fine acha tuwape watu faida.....Alafu unanitishia utamwambia Bhoke aniseme? We jamaa acha usenge unaskia?? Mwambie aandike. Msenge mkubwa . Unanisema kwa kina Emma Nkonoki Bhoke kaondoka because of this and that. Soma hapo, Bhoke kasema the truth ugumu wa kuishi na mimi ni nini??? Kayaorodhesha vizuri sana matatizo yetu. Na juzi nimemwambia tena akirudi kwangu moto ni ule ule atafanya nachotaka mim. . . Frank huna akili hata moja mjinga mkubwa..... Mtoto analalamika mamake anam control, mamake hamtrust, mamake anampangia future yake na wewe unaona ni kosa hilo? Kazi ya mama ni nini? Yes nilimpangia future yake niliyoitaka mimi sababu nilijua baadae angenishukuru after kuwa na maisha mazuri. Nilimake sure huyo mtoto anapata A' and B's only in school. Sababu I had plans for her to go to medical school. Mtoto anasema dream yake ni kuwa mwimbaji au actress na sio kusomea profession yoyote ile, unataka nisapoti ujinga huo? Unaja watoto wangapi wanataka kuwa stars hapa LA na wangapi wanafanikiwa? Fala wewe . And yes I didnt trust her because she is only 14 years old. Sikumruhusu kwenda kwenye kwenye block parties wala mall namarafiki sababu bado hana akili za kujichunga.Sikutaka na yeye afanye mistake zangu za kupata mimba kabla ya muda. I was being a mother. A real fucking mother. . . Una akili wewe Frank kumwambia mtoto its okay kuwa mwimbaji??? Huyo mtoto kuimba kwenyewe anaimba kama mtoto wa Linda . Mimi nilimwambia ukweli kuwa talent yake ni shule , Mungu kampa akili za shule na sio sauti ya kuimba wewe ukawa unamwambia eti anaweza kujifunza kuimba. . Mtoto ataacha kuniona mimi kimeo? Mtoto anataka nimnunulie nguo za kina @_summerella viguo vifupiiiii na vitop eti avae shule nikagoma nakuja kukuta chat zenu unamwambia mtoto eti atapendeza na hiyo outfit ya summerrella. Mtoto ataacha kuniona mimi mnoko?? . . Nakuta chat zako una mwambia mtoto nikimletea shobo azichape na mimi? Una akili wewe? Kama sio kumwaribu mtoto ni nini?? Unamwambiaje mtoto apigane na mamake? Na angedhubutu aone jinsi ningemtandika viboko. Wewe frank wewe!
 
Mmh naona kimenuka.no matter what mambo ya familia sio vizuri kuyaweka wazi insta. Ila kichwapanzi na yeye anachokonoa. Huzipata news mapema. Frank hana tabia ya kuongelea mahusiano ya mange.sijui kimemsibu nini mpaka akaamua kuyaongelea wazi
 
Huu uzi nimeuanzisha mimi lakini nimesoma comments hata sielewi kinachoendelea. Nimekutana na mabombastiki tu. Mara mshenzi mara wewe shoga. Duh. Hebu ngoja nikiamka kesho nisome vizuri ntakuwa nausingizi mimi.
 
Somo kubwa sana toka Kwa Frank gonga Kwa vijana. Mwanamke uleyezaa nae kukuvua nguo kwamba in super marioooz mpaka guest analipia yeye.

Vijana Wa clouds hivi vinasaba inaonekana mnavyo sana. Huyu jamaa amezaa na Mariam mtoto, kazaa na Gladys neno watoto,kazaa na mange mwenye obsessive compulsive disorder. Watoto wote yeye analelewa na wanawake kazi kuuza sura tuu. Vijana wa kiume tafuteni kwa kasho ndio muanze kuzalisha wanawake sio unazaaa wakati hunankitu
 
Hilo neno
 
Back
Top Bottom