Mange Kimambi afuta post zote za 'kuiponda' serikali ya CCM

Keshaona kuwa mbali na kulipwa pesa nyingi na wanayoitakia mabaya Tanzania, UMAMULUKU kwa nchi yake ni upumbavu. Mwelewa huyo.
 
Me namwombea maisha marefu siku moja aje ajue wale anawatukana na kuwadhalilisha kwenye mtandao nao walizaliwa na mama kama yeye na wana watoto kama yeye hua napenda sana MTU anaekosoa kitu kwa kutumia weledi na si kuwanya wale wanao mzunguka yule anaekosolewa kunyanyasika kisaikolojia
 
Ila aangalie tu huyo Mpenzi wake asiwe pacha wa wale waliokamatwa Malawi kwani wana mbinu nyingi na ujanja mwingi wa kummaliza adui pasipo adui kujijua na hadi ukija kushtuka tayari umeshaangamizwa. Naomba niishie hapa tafadhali!
wewe mshenzi tu, kwani wale waliokamatwa malawi walikuwa wapelelezi kama kichwa chako kitupu kinavyoamini? umesikia alichokisema askofu wa catholic songea na yule wa malawi anayewapelekea chakula gerezani hadi hivi tunavyoongea? hivi watu kama wewe si ukute una wadhifa serikalini, ndo maana nchi yetu haiendelei kwasababu ya vibuyu kama wewe kwenye madaraka. looo.
 
Aisee. ..
 
Aisee. ..
huyo jamaa kuna thread amesambaza upupu wake akishabikia kwamba TISS ya tz haijakaa vizuri kwamba ni wabovu kiasi cha kutuma wapelelezi 8 waliosemekana kumakatwa malawi, kumbe hajui hata kilichotokea kule. hana hoja yeyote ila kujifanya mjuaji wa haya mambo kumba ni bure kabisa kichwani.
 
Back
Top Bottom