Kiluuj JF-Expert Member Aug 8, 2015 692 277 Jun 19, 2016 #1 Ukiyaangalia kwa jicho la tatu, utaona ukweli wake. Yaani, what you see is what you get!
marwa job35 Member Feb 21, 2016 35 15 Jun 19, 2016 #2 Mgabe ni miongoni mwa Watu makini sana tulionao afrika
P permanides JF-Expert Member May 18, 2013 11,328 13,644 Jun 19, 2016 #3 Kiluuj said: Ukiyaangalia kwa jicho la tatu, utaona ukweli wake. Yaani, what you see is what you get! Click to expand... Attachments 1466341836081.jpg 31.1 KB · Views: 157
Kiluuj said: Ukiyaangalia kwa jicho la tatu, utaona ukweli wake. Yaani, what you see is what you get! Click to expand...
Retired Mp Member Jun 13, 2016 75 13 Jun 19, 2016 #6 He seem to be old but still in power shikamoo Afrika
marwa job35 Member Feb 21, 2016 35 15 Jun 19, 2016 #8 Big up presidaa mgabe,Roxdanta africana,the biggest snake in africa
M madmankache JF-Expert Member Sep 20, 2012 836 587 Jun 19, 2016 #10 wanamsingizia mzee wa watu,saiv kila kitu MUGABE.Hata mambo ya TZ mfano kufungiwa kwa simu nk,wanamsingizia Mugabe
wanamsingizia mzee wa watu,saiv kila kitu MUGABE.Hata mambo ya TZ mfano kufungiwa kwa simu nk,wanamsingizia Mugabe
U UDSM Alumni JF-Expert Member Jan 25, 2015 2,529 1,369 Jun 19, 2016 #11 Watakuwa wanatunga mengine asemi yeye jamani
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 93,472 119,259 Jun 19, 2016 #12 Ni kama Trump tu. Mengi yanayozunguka humu mitandaoni hajawahi kabisa kuyasema. Ni uzushi tu.
donlucchese JF-Expert Member Mar 23, 2011 17,092 21,773 Jun 19, 2016 #14 marwa job35 said: Big up presidaa mgabe,Roxdanta africana,the biggest snake in africa Click to expand... Roxodanta africana I think ni African elephant mkuu sio snake
marwa job35 said: Big up presidaa mgabe,Roxdanta africana,the biggest snake in africa Click to expand... Roxodanta africana I think ni African elephant mkuu sio snake
Tua Ngoma JF-Expert Member Apr 14, 2015 3,185 8,292 Jun 19, 2016 #15 Yaani hamna miwananchi miongo kama mitanzania
SirChief JF-Expert Member Jun 23, 2014 3,304 3,372 Jun 20, 2016 #16 huyu mzee hana Genes zinazosababisha kifo...