happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Mwanzo 3:14-16, matatizo hayaanzi machoni hapa au kwenye ubongo, yanaanza katika ulimwengu wa kiroho, mtu asipotambua hilo hawezi elewa na anaweza akaomba yote hayo na kwa imani akayapata kasoro ya adui yake anayemletea matatizo kugeuka kuwa rafiki
Asante haina shida mkuuNiruhusu nikutafute in private tafadhali...!
Opportunist. Code Red.
Sasa nimeanza kupata picha kamili ya uwezo wako wakufikiri na kung'amua ni mfinyu mnoo..hustahili kupitia katika haya majukwaa au kwenye thread kama hizi na kuacha ushauri
Ni kweli kabisa kila jambo sio matatizo tu linaanzia kwenye ulimwengu wa kiroho kabla ya kuzaliwa kwetu duniani. Huwa tunashiriki na kujua maisha yetu yatakuwaje duniani. Tatizo dhambi hufunika uwezo wa kutambua na kukumbuka maisha yetu yatakuwaje duniani. Hapo tulipaswa kuwa wa kiroho kwa kudumu katika maombi na yote yanayotusumbua yasingetokea maana tungeyajua kabla. Ndio maana nikasema sio kila kitu kinaombewa, kuna vingine unaviepuka tu, na ndio Maana unawezaomba na ukajiona kama hujibiwi bila kujua lile jambo lilitakiwa kuchukuwa hatua fulani na sio kukaa na kuliombea. Sana sana kama unaweza uingie huko kirohoni na kuangalia nini cha kufanya.
Hiyo mwanzao uliyoiquote... inaonyesha uadui wetu na shetani ulipoanzia na adhabu tuliyopata kwa kutotii kwa Hawa. Hapa tunazungumzia Kuondoka katika maisha ambayo si ya raha kwetu, haina maana kwa kuwa tulitenda dhambi basi tutaishi kwa kuumia duniani na kuwa watu wa kulia na kuomboleza bila sababu ... hilo Mungu alitupa neeema kwa damu wa mtoto wake. Ni somo refu sana unaweza usinielewe. Ila point yangu inabaki kwa Nacherewa kuondoka na kutafuta amani na furaha Maana Mungu wetu alituhakikishia kuishi kwa raha tukimtegemea yeye, jicho la kushoto likukosesha ling'oe. Najua bado ni ngumu kunielewa
imani yake iko vp?pole dada,fanya maombi kwa ndoa yako. Hiyo ndio silaha pekee na muhimu baada ya jitihada hizi za kawaida
that is a fight, akiamua aondoke good for her, akiamua abaki ajue yuko kwenye war zone...hopefully akienda to wherever atakapoenda atapata mume na mtoto, but if not, ajue the fight is still on, atazunguka mara ngapi, atakaa mwenyewe na kuanza maisha upya ili iweje? nawajua kibao ambao were not happy, wakasali na Mungu akawajibu, choice is hers
Nacherewa Hii situation (in red) wanapitia karibu wanawake wote wanaotoka ndoani. Hii yote ni ktk kutafuta mb....oo za kuvizia, usipojiangalia unakuwa malaya jumla, au unakuwa mchepuko wa mtu. Sasa kuliko kuwa malaya au mchepuko (coz one of these is likely) ni bora ukaendelea kuwa nyumba kubwa kwa mumeo.nimeumia sana sana sana sanaaaa nimepitia situation kama ya kwako hakika inaumiza sanaaa ila mimi niliondoka bcz maisha ni all about happyness and peace and love and being free ingawa kuanza upya ni kugumu sanaaa kuna umiza mnooo utajikuta unatembea na watoto wadogo bila kujua au unatembea na mijizee utaona hurizishwi utafeel vurugu zoote huko nje lkn kuishi kwenye jela ya mapenzi ni ngumu bcz ukiwa free ukiona huyu hakufai u let him go poleee pole sana kama unafikiri u can fight fight for him lkn kama unaona huwezi let him go and let in God
Nacherewa Hii situation (in red) wanapitia karibu wanawake wote wanaotoka ndoani. Hii yote ni ktk kutafuta mb....oo za kuvizia, usipojiangalia unakuwa malaya jumla, au unakuwa mchepuko wa mtu. Sasa kuliko kuwa malaya au mchepuko (coz one of these is likely) ni bora ukaendelea kuwa nyumba kubwa kwa mumeo.
Kusema utakituliza hadi upate mwanaume mwingine wa kukuona ni kuidanganya nafsi yako ilihali mwili unataka na ulishazoea hiyo mara 2 kwa wiki. Mimi sikushauri kuachika coz utaishia kuwa mchepuko au malaya, think twice!!
cc Sista atoto njoo utoa ushauri wako bana, pale si umeshangaa tu na kuondoka khaa!!
Aiii mie sio muumini wa hiyo kauli sijui ya vumilia uwe nyumba kubwa siji nn, akuuu furaha yangu mataz kwanza, siwezi jipa mateso kisa nimeizoea mb..ooo ya mtu fulani katu, huo upuuzi ndio umeua wanawake wengi japo wanatembea ila walishakufa siku nyingiiii.
Nimekuelewa sista, pia naheshimu feeling zako. Lakini hoja yangu ya msingi ni kwamba uzoefu unaonyesha mwanamke sawa anaachika sababu mumewa malaya, jamii pia inakuwa upande wake (refer comments za wengi humu), halafu akishaachika na yeye anaenda kuwa malaya vile vile, au akijitahidi sana anaishia kuwa mchepuko!! sasa hapo si yale yale uliyokimbia kwa mumeo sasa!!
Pole dada,fanya maombi kwa ndoa yako. Hiyo ndio silaha pekee na muhimu baada ya jitihada hizi za kawaida