Maneno ya huyu mzee yalinishangaza kidogo

Nilipofukuzwa shule nikiwa form four, niliwahi kwenda na demu wangu kwao na mshikaji wangu alitaka kunisindikiza nikamkuta mzee wake na mshikaji wangu. Yule mzee alinifurahia sana, na kila baada ya muda akawa ananiulizia. Sasa yule mzee alikuja kufariki, ikawa nikikutana na mama yao na mshikaji wangu ananiambia yule mzee alitokea kunipenda sana na hajuagi ni kwa nini, mimi nilikuja kuifahamu sababu baadae ingawa sikuambiwa na yule bi mkubwa.
 
Sijui tatizo ni nini. Sikubaliani naye kwa sababu mtoto akizaliwa ndani ya ndoa kuna asilimia kubwa kuwa atalelewa na wazazi wote wawili maana tayari wapo ndoani ila akizaliwa nje ya ndoa probability ya hao wa zazi kuingia ndoani ni 50/50, hivyo kuna hatari ya mtoto kulelewa na mzazi mmoja
Shukran mkuu nimejifunza kitu
 
Nilipofukuzwa shule nikiwa form four, niliwahi kwenda na demu wangu kwao na mshikaji wangu alitaka kunisindikiza nikamkuta mzee wake na mshikaji wangu. Yule mzee alinifurahia sana, na kila baada ya muda akawa ananiulizia. Sasa yule mzee alikuja kufariki, ikawa nikikutana na mama yao na mshikaji wangu ananiambia yule mzee alitokea kunipenda sana na hajuagi ni kwa nini, mimi nilikuja kuifahamu sababu baadae ingawa sikuambiwa na yule bi mkubwa.
Ubongo wangu mdogo unapata Complications kuelewa ulichoandika🤒 ila sababu ilikuwa ni nini boss?
 
Hakuna mwanae aliyewahi kwenda na demu wake pale kwao hivyo akaniona nina ujasiri kwa nilichokifanya.
 
Back
Top Bottom