Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Nami nimeshangaa sana. Tumsamehe labda amekurupuka tu au hajui anachochangia. I am sorry to say so.
Nisome hadi mwisho "wakati maneno hamuyamaanishi"
Ubazazi unaujua?
Na mie naombeni mnifundishe maneno matamu.
Nilikusoma hadi mwisho... Mtoa mada aliomba kufundishwa maneno matamu...
Ulivotoa hoja yako ni kana kwamba maneno matamu yote hayamaanishwi hivo ni ubazazi.
Zile za sili, silali ajili yako .
alie kuumba kakupendelea na
Aliekuzaa nampa hongera.
Nikinywa maji , naona sura yako kwenye glass.
Nimekosaa usingizi Siku tatu nakuwaza wewe.
Na hakika hujazaliwa umeshushwa kutoka mbiguni.
Dada we ni mzuri na wasisi hata haja kubwa huendi sababu ni uchafu .
Nikikupata wewe ndio mwisho wako kukanyaga chini ntanunua mbeleko nikubebe kila mahali .
Etc..............
Mweeeehhhhh kutongozwa kuna raha jamani
Hata Kama kila neno ni la uongo..
Ritz, nitakuPM maneno matamu sana sana. Ila angalia usiweweseke mchana na kuanza kunisaka mitaa yote!Na mie naombeni mnifundishe maneno matamu.
Niambie mimiMhhh.... Maneno hayaji. Labda mpaka nimpate wa kumwambia.
Zile za sili, silali ajili yako .
alie kuumba kakupendelea na
Aliekuzaa nampa hongera.
Nikinywa maji , naona sura yako kwenye glass.
Nimekosaa usingizi Siku tatu nakuwaza wewe.
Na hakika hujazaliwa umeshushwa kutoka mbiguni.
Dada we ni mzuri na wasisi hata haja kubwa huendi sababu ni uchafu .
Nikikupata wewe ndio mwisho wako kukanyaga chini ntanunua mbeleko nikubebe kila mahali .
Etc..............
Mweeeehhhhh kutongozwa kuna raha jamani.
Hata Kama kila neno ni la uongo..