Hujanielewa. Ungenielewa ungejuwa kwamba tunakubaliana katika hayo unayoyasema wewe..Sio kweli, hawana utaalam wa vetting ya viwango hivyo
Samia utaratibu wake ni wa kubadilisha badilisha hata mara tano ndani ya miezi michache mpaka apate type yake anayoitaka yeye.
Ilikuwa hivyo kwa Mkurugenzi TISS, na taasisi nyingine nyeti kama TRA, TPA, Hazina, ambazo anataka figure head atakamwezesha kupitisha agenda zake yeye Samia, sio mtaalam ataefanya kazi kiueledi kwa manufaa ya umma.
Mdomo umekoponza kichwa ..."Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Wahuni huwa hwataki ukweli usemwe hadharani, wanaweza kumuadhibu kama walivyofanya kwa DC wa Longido, Nape, Polepole, Nchimbi, nkChacha si kasema ukweli mtupu jemani au katupiga na kitu kizito?
Tena yeye hakumalizia kuwa mahakama ni mali ya fisiemu kama ilivyo bakhwata.
Ndiyo maana kaishia hapo alipoishia tena kwa upole sana.Wahuni huwa hwataki ukweli usemwe hadharani, wanaweza kumuadhibu kama walivyofanya kwa DC wa Longido, Nape, Polepole, Nchimbi, nk
Huyu itabidi aanze kujitafakari kwa kuthubutu kuhoji hayo aliyosema Chacha."Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Na huo ndo ukweli mchungu. Bila dola ccm hawana uwezo wa kuwa madarakani maana hata kushinda kura kihalali hawawezi.
Ninachomsihi na kumwomba, asikubali tena kushiriki katika kuwakandamiza waTanzania. Simwombi zaidi ya hilo.📎📌🔨Huyu kwa kulinda heshima yake ndogo itakayorudi ni kunyamaza tu waTanzania wajikomboe wenyewe kwa njia zozote watakazoweza kuzitumia.
Yeye hapaswi kusema chochote. Anyamaze tu, hakuna atakayemlilia kwa kuwaumiza waTanzania kama alivyoruhusu huko nyuma.
Ninachomsihi na kumwomba, asikubali tena kushiriki katika kuwakandamiza waTanzania. Simwombi zaidi ya hilo.
Huna jinsi au njia yoyote kukataa Kodi, kila bidhaa unayonunua imewekewa kodi indirect tax...raia acheni kulipa kodi tuone km hao kina chacha wataweza kuwalipa hiyo mishahara yao..hii ndio dawa ya hawa waliovimbiwa na kuja kutapika hadharani.
Amesema kweli au ndio mipango yao kuwa waropoke harafu wajijibu wenyewe ili kutuzubaisha?Amekosea nini, hawatumiki na CCM kama toilet paper 🧻?
Hana uwezo wa kuongea haya wakati yeye mwenyewe ni sehemu ya mateka"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Ukweli ni slichokisema Ch'cha, hicho ndio nnachokiita ukweli. Ila kuna watu hawataki huo ukweli usemwe, na haya maneno machache ndio uthibitisho wa wale wasiopenda ukweli uliosemwa.Huo utakuwa siyo ukweli. Ukweli haujifichi kwa sababu yoyote ile.
Unachozungumzia wewe hapa ni UNAFIKI ndio neno sahihi unalolenga wewe.
Mungu anajua..lkn fanya sehemu yako, unatishwa na kufungiwa biashara..? Watafungia wangapi..km kila mmoja atakataa kulipa..?Huna jinsi au njia yoyote kukataa Kodi, kila bidhaa unayonunua imewekewa kodi indirect tax.
Na ukifungua biashara ukagoma kulipia kodi wanapiga kufuli.
Njia za kuondokana na kusalimika na huu ubabe, na manyanyaso, tambo na kejeli ni MUNGU anajua.
Nimekuelewa vizuri sasa.Ukweli ni slichokisema Ch'cha, hicho ndio nnachokiita ukweli. Ila kuna watu hawataki huo ukweli usemwe, na haya maneno machache ndio uthibitisho wa wale wasiopenda ukweli uliosemwa.
Kaongea kinyonge hadi anatia huruma"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?