WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Hayo ndiyo matunda ya siasa chafu za kipumbavu za ccm, zikiongozwa na Jk wakati wa kampeni za 2010 kuwagawa watu kwa dini zao!
Leo hii wanavuna matunda ya kazi nzuri ya kuhubiri udini
Uchochezi upi.,sio nyie mliruka futi 100 bungeni mkisema hakuna Udini alafu Mwenyekiti wenu akakutana na viongoz wa kikristo baada ya waislam,vp kwenye mei mosi aliongelea nini?,mmekalia unafiki ili wakristu wateketee,nyinyi ccm ndio waasisi na wapangaji wakuu wa haya matukio.,mnatucheza mpira alafu mnageuka watazamaji..sisi tunaona nia yenu mbaya juu ya waislamu,wakristu na watanzania kwa ujumla..,wazuri sana kwenye kuongea
Mkuu mara nyingi huwa sipendi kujibu comment zako kwa sababu zimekaa kishabiki sana kila siku,hakuna siku ambayo ume-comment jambo la maana tofauti na kushambikia Ujinga unaoendelea kutokea hapa nchini,kuna wakati unaongea mambo ya maana lakini maneno yako mengi ni ya kinafiki,uchama sana,na mengine mengi yanayoendana na hayo,mkuu unaweza kunijibu ni kwa nini LEMA alikuwa kiongozi wa kwanza kufika katika eneo la tukio wakati alikuwa Bungeni?!,unajua tuna akili sana kuliko unavyofikiri wewe na kundi lako!,hili suala kuna haja ya LEMA kuhojiwa kwa sababu kuna element zinaonesha kama ana lifahamu vile!,kuna comment nyingi sana humu zimeeleza na kutilia mashaka kwamba huenda huyu jamaa alikuwa anafahamu mpango mzima.Jamani hivi tunakwenda wapi kwenye nchi hii,hivi wewe ni mtanzania halisi kweli?!,hivi ni kwa nini tukio litokee halafu yeye akimbilie kukihusisha chama?!,sikubaliani na hili hata kidogo,naona wewe na kundi lako unataka kutupeleka kubaya!.
KIBOGO,,, ULICHOSEMA HAPO JUU NI UKWELI KABISA Kwani kuna watu hasa ndugu zetu wakristo walikubali kabisa kuwa CUF ni chama cha waiislam, na mpaka sasa propganda ya kuwa CHADEMA ni chama cha kikristo bado inaenea kwa kasi kubwa sana hivyo propaganda za CCM ni za kuangalia sana la sivyo CHADEMA wasitegemee kura nyingi kutoka kwa waislamu hali ambayo iliikumba CUF na wakristo mwaka 2000.
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.
Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Hawa CCM ni hatari sana,wazuri sana kwenye kuongea,wanatuchezesha mchezo kati ya wakristo na waislamu na nia yao waendelee kutawala ila sijui watawatawala wa nani pindi kitakaponuka.,wanatuona mapimbi,wanafuraia wakristu wanavyokufa ndo maana walisema Bungeni hakuna udini ili wakristu waendelee kuuliwa..SUBIRIA TAMKO KWA HILI LA A-TOWN ni mwendelezo wa uongeaji mzuri ili kuwatuliza ila mpango wao uko palepale...MUNGU ATAWALAANIHata mimi nashangaa licha kulalamika sana juu ya kanda za uchochezi za akina Ustazi Ilunga, Last week nimezikuta zimeanikwa pale kwenye msikiti wa Indira Ghandi karibu na Hospitali ya Hindu Mandali. JK, IGP Mwema, Othmani wa Usalama wa taifa mnalipeleka wapi taifa letu.
What do you mean Mkuu? au hoja hazijibiki? ni kazi sana kuwa wakili wa Ushetani wa magamba.Hizi ni 'NJEMU' tu hakuna kingine hapa.FULL STOP.
waulize waliokuzidi umri au waliokuwepo kwenye kampeni za jk 2010CCM walianzisha vipi udini?
Afadhali mhuni kuliko alieko magogoni anaetusababisha tuuane ili yeye aendelee kula bata....Mhuni huyo
Unapenda sana kutukana watu,angalia usivyokuwa mstahimilivu wa hoja,ndiyo maana nakwambia uelewa wako ni mdogo tena sana na hapo ndipo ulipofikia,UPUMBAVU NI TUSI kwa hiyo lugha yenu ya kujifunza ni (FULL),lakini Ujinga sio Tusi,ni mtu asiyeelewa na kwamba ipo siku ataelimishwa na kuelewa.narudia kusema acha ujinga mkuu jaribu kufunguka.
Kuelekea uchaguzi wa mwaka 2010 baada ya kuona wamezidiwa sana na chadema Kikwete aliongea na masheikh ilikumsaidia kampeni misikitini huku akiwaahidi upendeleo kwenye serikali yake, mahakama ya kadhi, OIC, huku akiwaambia niafadhali waislamu wote wamuunge mkono yeye kuliko padri Slaa..inatisha sana ukiona cd ya mkakati huo natamani watanzania wasiione kamwe..CCM walianzisha vipi udini?
by chintu
...umeshaanza kuukubali unabii eeh!
Na hata utabiri wa sumaye umetimia pia kwamba anayeingia madarakani kwa hila na kalamu "...atatawala kwa risasi" yametimia kwa mwangosi, yametimia arusha tar 5 january, yametimia morogoro kwa kijana muuza magazeti, yametimia songea, yametimia kwa wanafunzi uhasibu arusha kupigwa mabomu kisa kilaza rc, yametimia kwa lema kuvamiwa nyumbani kwake kama jambazi wakati wangeweza kumuita tu hata kwa simu. Na sasa wanabadili style ni mwendo wa kung'oa meno, kucha na macho. Ama kweli dr na sumaye ni manabii --sijui waliyaonaje haya -mungu ana watu wake anaowapa maono kuwatahadharisha viumbe wake. Hongereni dr slaa na mh sumaye kwa unabii wenu akina wabhejasana waliwabeza lakini sasa wanaanza kuwaelewa taratibu.
what do you mean mkuu? Au hoja hazijibiki? Ni kazi sana kuwa wakili wa ushetani wa magamba.
Hawa wote ni Dini moja... Yaliyowapata wakristo ARUSHA si TATIZO ila KAULI ya LEMA kwakuwa inaathiri CCM ambayo wanaamini kwa sasa inabeba maslahi ya dini yao kupitia mtu wao... BASI KAULI NI MBAYA kuliko waliolipua mabomu!.. Akilalamika mkristo kwao,.. Si sawa!!
Haya ndio maneno aliongea Lema
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums