Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

Status
Not open for further replies.
serikali haitotawalika na huku ndio manake alokusudia Dr slaa. Hujuma dhidi ya utawala wa jk zinaendelea.
Hayo ndiyo matunda ya siasa chafu za kipumbavu za ccm, zikiongozwa na Jk wakati wa kampeni za 2010 kuwagawa watu kwa dini zao!
Leo hii wanavuna matunda ya kazi nzuri ya kuhubiri udini
 
Kama mnahisi maneno ya lema ni pumba waulizeni wakristo ambao makanisa kama kumi yameharibiwa na waumini wengi wameuliwa halafu serekali inachoweza ni kutoa pole tu.
 

Nimeyasave mkuu mimi najua kuna makubwa zaidi ya haya kama wanasiasa wataendelea kuongea pumba publically.
 
kweli watu wamekufa kiakili
Nyani haoni kundule. Hata wewe bado hujafikiri kisawasawa. Hoja hujibiwa kwa hoja na si matusi wala dharau. Amejenga, zliyekufa kiakili aweza kujenga hoja?Asiye na hoja, hana alijuaalo ila matusi na dharau.
 
Wazungu wana kajimsemo kao kanasema "Call a Spade by its Name"
This is what Lema Did
Kudos To Godbless Jonathan Lema..
 

Huwa sikuombi unijibu comments zangu ................... ila huwa napenda nijibu upumbavu wako unaoupost bila kufanya assessments. Upumbavu wako unanifanya nikujibu kutokana na uwezo wako mdogo. umezidi kushabikia upumbavu badala ya haki na ukweli!
Kwanza nikuambie Lema hakuwa wa kwanza kufika eneo la tukio kama unavyodai wewe na washirika wenzako!
Pili Lema ni kiongozi wa kuchaguliwa kwa kura na wananchi wa jimbo la Arusha, na tukio hili limetokea kwenye jimbo lake, suala la kusema alikuwa bungeni ni la kwako sina sababu ya kukujibu kwakuwa unajulikana unawakilisha Lumumba.
Lema siyo kama huyu mshenzi aliyechaguliwa na kalamu moja halafu anakuwa kero badala ya kuwa chanzo cha kutatua tatizo.
Nikuhakikishie kuwa huu ambao unaouita upumbavu utaona matunda yake baada ya siku chache zijazo. kwanza kusema comments zangu ni za kijinga ni kuwaambia watanzania ni wajinga kwa kuwa sasa wanaelewa.
Kwa upeo wako mdogo unaona waliolipua bomu pale kanisani ni watu werevu sana kwa kuwa sasa mnavuna matunda ya siasa nzuri ya chama chenu cha majangili.
Your days are numbered!
 
Yameanza kutimia yale yaliyonenwa kwamba nchi hii kamwe haitatawalika!
...umeshaanza kuukubali unabii eeh!
Na hata utabiri wa Sumaye umetimia pia kwamba Anayeingia madarakani kwa hila na kalamu "...atatawala kwa risasi" Yametimia kwa Mwangosi, yametimia Arusha tar 5 January, yametimia Morogoro kwa kijana muuza magazeti, yametimia Songea, yametimia kwa wanafunzi uhasibu Arusha kupigwa mabomu kisa kilaza RC, yametimia kwa Lema kuvamiwa nyumbani kwake kama jambazi wakati wangeweza kumuita tu hata kwa simu. Na sasa wanabadili style ni mwendo wa kung'oa meno, kucha na macho. ama kweli Dr na Sumaye ni manabii --sijui waliyaonaje haya -Mungu ana watu wake anaowapa maono kuwatahadharisha viumbe wake. Hongereni Dr Slaa na Mh Sumaye kwa unabii wenu akina WABHEJASANA waliwabeza lakini sasa wanaanza kuwaelewa taratibu.
 
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.

Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Ni vema umetambua kwamba radio maria hawabahatishi. nahisi ingekuwa radio imaaaaaan mambo yangekuwa balaa!
 

Tatizo ni huo uelewa wako mdogo,mkuu.lakini ipo siku utagundua kwa nini nakwambia hivi.
 

Hizi ni 'NJEMU' tu hakuna kingine hapa.FULL STOP.
 
ulimi ni kiungo kidogo sana ktk mwili wa binadamu,lakini kina uwezo mkubwa wa KUJENGA AU KUBOMOA
kauli za kichochezi za LEMA kwa kweli zinahatarisha sana amani ya nchi yetu,tusi comment kwa ushabiki wa kichama bali kwa kulisaidia taifa letu,kumshabikia LEMA kwa uchochezi wake wamara kwa mara ni kujitia kitanzi sisi wenyewe
ipo siku LEMA ATAKUJA KUKOSA HATA WATU WA KUMPA POLE coz kila siku wale wanaomshabikia wanazidi kupungua na wanaobakia ni vilaza wachache ambao ni kama bendera fuata upepo

MUNGU IBARIKI TZ
 
Leo ccm wanakurupuka bila aibu na kusema M23 wanahusika.,vp na kule mbagala,zenji,tunduma.,acheni kuwachezea watanzania.,waislam wakaneni wanaohusika na haya matukio kwa migongo yenu,serekali haina nia ya dhati na amani wala ushirika kati ya dini mbalimbali..
 

Mkuu unajitahidi sana na hoja zako. Nakushauri tafuta kapoint hata kamoja cha kukubaliana ili hoja zako zieleweke.

Ni wazi unatetea msimamo fulani ambao wengine wana haki ya kuupinga.

Wenzio wanalinganisha kauli ya Lema na tukio; wewe unazungumzia uasisi na kauli za viongozi ili watu wathibishe kwa maana ya ushahidi. Ushahidi wa wazi ni kuingiza kwenye ilani ya CCM maswala ya Mahakama ya Kadhi. Kwa wenye upeo mfupi (naamini wewe sio mmoja wapo), kwanza ni kinyume cha katiba ya nchi lakini baada ya kujikanganya, CCM walifanya nini ili waondoe upotoshwaji uliojitokeza ya dhana ya udini waliyoiweka kwenye ilani yao.

Hapa jamvini nadhani ni suala la nguvu ya hoja na si hoja ya nguvu. Tiririka kwa hoja kupinga kila neno la Lema tafadhali.
 

Hata mimi nashangaa licha kulalamika sana juu ya kanda za uchochezi za akina Ustazi Ilunga, Last week nimezikuta zimeanikwa pale kwenye msikiti wa Indira Ghandi karibu na Hospitali ya Hindu Mandali. JK, IGP Mwema, Othmani wa Usalama wa taifa mnalipeleka wapi taifa letu.
 

Mungi;6291826]Huwa sikuombi unijibu comments zangu ................... ila huwa napenda nijibu upumbavu wako unaoupost bila kufanya assessments. Upumbavu wako unanifanya nikujibu kutokana na uwezo wako mdogo. umezidi kushabikia upumbavu badala ya haki na ukweli!
Kwanza nikuambie Lema hakuwa wa kwanza kufika eneo la tukio kama unavyodai wewe na washirika wenzako!
Pili Lema ni kiongozi wa kuchaguliwa kwa kura na wananchi wa jimbo la Arusha, na tukio hili limetokea kwenye jimbo lake, suala la kusema alikuwa bungeni ni la kwako sina sababu ya kukujibu kwakuwa unajulikana unawakilisha Lumumba.
Lema siyo kama huyu mshenzi aliyechaguliwa na kalamu moja halafu anakuwa kero badala ya kuwa chanzo cha kutatua tatizo.
Nikuhakikishie kuwa huu ambao unaouita upumbavu utaona matunda yake baada ya siku chache zijazo. kwanza kusema comments zangu ni za kijinga ni kuwaambia watanzania ni wajinga kwa kuwa sasa wanaelewa.
Kwa upeo wako mdogo unaona waliolipua bomu pale kanisani ni watu werevu sana kwa kuwa sasa mnavuna matunda ya siasa nzuri ya chama chenu cha majangili.
Your days are numbered![/QUOTE]
 

Usizuge hapa toa ushahidi. Toa clip au kipande cha gazeti ili uthibitishe. Unataka kuleta umbea wa mtaani hapa?
 
Uchochezi upi.,sio nyie mliruka futi 100 bungeni mkisema hakuna Udini alafu Mwenyekiti wenu akakutana na viongoz wa kikristo baada ya waislam,vp kwenye mei mosi aliongelea nini?,mmekalia unafiki ili wakristu wateketee,nyinyi ccm ndio waasisi na wapangaji wakuu wa haya matukio.,mnatucheza mpira alafu mnageuka watazamaji..sisi tunaona nia yenu mbaya juu ya waislamu,wakristu na watanzania kwa ujumla..,wazuri sana kwenye kuongea
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…