Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,099
- 9,268
Zilizotumwa na nani?Kiobgozi hukupata hata zile meseji zilizokuwa zinatumwa kwenye simu zetu?
Wewe unatazo la ubinafsi, je SHEKHE PONDA NDIYE MUASISI WA UDINI TANZANIA? KUWA MKWELI ILI TUINURU INCHI YETU. MUKIENDELEZA UBAGUZI KAMA HUU WA JAMII FORUM TUTAFIKA TUSIKOKUPENDA.
Hawa wote ni Dini moja... Yaliyowapata wakristo ARUSHA si TATIZO ila KAULI ya LEMA kwakuwa inaathiri CCM ambayo wanaamini kwa sasa inabeba maslahi ya dini yao kupitia mtu wao... BASI KAULI NI MBAYA kuliko waliolipua mabomu!.. Akilalamika mkristo kwao,.. Si sawa!!
hivi raisi anaweza gombea Term tatu hebu nieleweshe
Yaani Haujui? Ni kivipi Sheikh Ponda alipata fursa ya kuongea Hadharani dhidi ya Dini zingine? Bila ya Serikali kujua?
Inakuwaje Rais hajui UDINI ulianzaje wakati campaign zake za 2010 alikuwa anaongelea UDINI na UKABILA? Bila Tricks zake za DIVIDE and RULE unadhani anakuwa Rais wa NCHI hii this term?
Mie Mkristo lakini kwa hili LEMA atakuwa anajua ukweli.
1. Kwanini hakuwa Dodoma kwakuwa alijua tukio litatokea ili awe mtu wa kwanza kuwepo aonekane responsible.
2. Ili akatoe matamko kuwa CCM na serikali yake inahusika ili aendeleze gape kati ya CCM na waumini wa kikristo.
3. Uchonganishi ambao una hila ndani yake bila kujali mkutadha!
NARUDIA TENA, NA TENA..
CHADEMA MNAHUSIKA KWA HILI. FULL STOP.
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.
Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.
Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.