FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,235
- 2,497
Nyuma ya mgongo Ni wapiMandonga aliwahi kushinda pambano la ngumi, huku mikono yake yote ikiwa imefungwa nyuma ya mgongo.
Mandonga anaweza kuisukuma gari akiwa ndani ya hiyo gari.Mandonga anaweza kubeba gari, akiwa ndani ya hiyo gari!!!
Huyo Mandonga unambiwa...Unaambiwa,
Mandonga huwa anameza majani ya chai, sukari kavu, kisha anakunywa maji baridi. Chai inaivia tumboni.
Na kuna wakati,Mandonga anaweza kukata mbuyu na kiwembe kimoja cha Topaz.
Huyo mandongaMtu kazi mwenyewe, yani,
Mandonga anaweza kupiga tarumbeta kwa kutumia guitar.
Afu akaupanda yeye yeyeHua nakumbuka kauli yake ya mtubwi wa vibwengo hua auvushi watu😂😂