Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,054
- 71,340
Mandonga huvaa Mawani ili tu kuprotect Jua lisiumizwe na macho yakeNaskia pia,
Mandonga alipozaliwa, alimbeba mamaake kutoka hospitali hadi nyumbani.
Mandonga huvaa Mawani ili tu kuprotect Jua lisiumizwe na macho yakeNaskia pia,
Mandonga alipozaliwa, alimbeba mamaake kutoka hospitali hadi nyumbani.
Huwezi amini mkuu,Mandonga huvaa Mawani ili tu kuprotect Jua lisiumizwe na macho yake
Unaambiwa bomu la nuclear likiwekwa karibu na mandonga lina yeyukaHapo kwenye kupiga mkuu,
Mandonga aliwahi kupiga risasi, risasi ikafa!!!
Ndo maana niliskia eti,Unaambiwa bomu la nuclear likiwekwa karibu na mandonga lina yeyuka
Mandonga mtu kazi.Ndo maana niliskia eti,
Baada ya Mungu kuiumba dunia ndani ya siku saba, alipumzika na kumuachia Mandonga iyo kazi!!!
KifuaniNyuma ya mgongo Ni wapi
Huyo mandonga
Kitasa cha mlangoni anapuliza tu phuuu huyooo anapita zake
Umaarufu wa puto, kipini tu pyuuuuUkitaka kuona maajabu ya Mandonga mtu-kazi, soma uzi huu. Kisha kama una taarifa zake, weka maajabu yake hapa!!!
Dah! Wacha tuone mkuu...ila naskia amekuwa kwenye anga za sanaa muda mrefu...kama kuwa bouncer wa wasanii, ma vitu kama ayo.Umaarufu wa puto, kipini tu pyuuuu