Nimekaa hapa kwa mbele
Tizama maazishi ya mandela hapa live kwa wale wasio na kingámuzi: Nelson Mandela has died. Live coverage from eNCA - YouTube
Graca is taking Mandela's death very hard.
Tizama maazishi ya mandela hapa live kwa wale wasio na kingámuzi: Nelson Mandela has died. Live coverage from eNCA - YouTube
Kikwete ataongea kama nani? manake naona kama amejipeleka tu....Waziri mkuu wa Ethiopia ni m/kiti wa AU ,Banda ni M/Kiti wa SADC....Sasa JK kama nani? au ndo kupenda kuzurura
Kikwete now
Mama anaonesha ni jinsi gani anaumia kuondokewa na kipenzi chake....Tofauti na Winnie na Zuma ambao wanachekacheka tu huku wakishikana mikono...